Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
ShombeshombeKitu chotara
Umemisika
Kesho inawekana ku re-do?Nna kiwi na mihogo ya kukaanga na mishkaki na crips za mihogo....πππ
Na upepo wa bahari...π.
Kasie Misosi.
Kesho inawekana ku re-do?
Saa kumi na moja jioniYeey....!!
ππΌ Please ni time gani nisonge pale....!?ππππ
Saa kumi na moja jioni
πͺOni doti wili zea πππ
Senkyuuuuuuuu βΊοΈ.
Buujiiiiiiiiiiiiiii.....!πͺ
Sorry my dear, nilikuwa natoka hapo Police Officer's Mess, natembea taratibu, kuelekea pale chini. Nilikuwa naongea na simu hadi nikapoteza umakini, nikasikia fyuuuuuu.... Simu janja imepigwa mbele kidogo ya Golden Tulip.Buujiiiiiiiiiiiiiii.....!
Sorry my dear, nilikuwa natoka hapo Police Officer's Mess, natembea taratibu, kuelekea pale chini. Nilikuwa naongea na simu hadi nikapoteza umakini, nikasikia fyuuuuuu.... Simu janja imepigwa mbele kidogo ya Golden Tulip.
Nikachanganyikiwa, moja haikai, mbili haikai, akili zikaniruka, kwenye kitochi sina namba ya mgeni, yaani nimekimbilia home kwenye PC, nimtumie ujumbe
Dah...Ooh poleee....
Umepitwa na Combo moja Matata ππ