Hana changamoto za umemeRaraa reree
Hujamaliza ku comments ameshalike iwe usiku iwe mchana halafu iko kama hana changamoto za umeme
Hahaa uwiiiKuna accounts nyingine zinaendeshwa na zaidi ya mtu mmoja.
Ni kundi la watu wanapeana shift.
Wee jina gani hilo πKimarioo unaitwa huku raraa reree
πππ
zari la mentali mkuu ππWee jina gani hilo π
Embu punguza o moja tafadhali kama sio jina lote πzari la mentali mkuu ππ
Haha Kim kama Kim ππEmbu punguza o moja tafadhali kama sio jina lote π
Acha zako bhana alolo apeche hapaHana changamoto za umeme
Hana changamoto za bando
Hana changamoto za madeni
Kwa kifupi ni free soul ππ
Nitakuwa nakuita manka na wewe πHaha Kim kama Kim ππ
Kumbe ni Kimario
Aloloo tuko huku VPN hatuna bando πAcha zako bhana alolo apeche hapa
Wee manka tuliaHahaaa tulia Kimario
Sisi ni members ila raraa reree na Extrovert na Half american na min -me ni marobotπPia depal na leejay49 mashallah si haba
Kimetokea nini tena πPia depal na leejay49 mashallah si haba
Kwani rara reree mwenyewe anasemaje?!π€£π€£π€£π πRaraa reree
Hujamaliza ku comments ameshalike iwe usiku iwe mchana halafu iko kama hana changamoto za umeme