Huyu ni mtu au robot?

Dah kmmk, 4% na data on
 
Usiwe serious sana na maisha mzee. Hii ni social platform tu, watu wana maisha yao huko duniani.
 
List haitoshi mkuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Sisi ni members ila raraa reree na Extrovert na Half american na min -me ni marobot๐Ÿ˜ƒ
Facebook like sound ndio iliniharibu, nina uraibu wa kile kimlio cha like kwenye facebook. Nakipenda.

Sema mtandao ndio changamoto nowdays nimepunguza. Hapa nilipo ni dakika ya 5 inapita nacomment inagoma kupublish, zitakuja comment sita sita.
 
Kwenye hiyo list kuna mtu kakosekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ