Huyu ni mtu au robot?

Huyu ni mtu au robot?

Kwakweli hua sipend. I think it's just because I'm sooo succumbed with truth. Mm najua like ni appreciation ya kile nilichopost kwamba mtu kakipenda sasa. Haiwezekani hata nikiweka emoj unipe likes... Pengine mtu anaamua kufatilia mada yako fulani just kwakua ndio tavia yake kutoa like basi anasambaza likes..
Mm hata uniudhi namna gani hua siweki mtu ignore ila swala la like kwakweli sipendi. That's me, and I can't help it.
Wote waliopo ignore list sababu ni hiyo but si kwa ubaya. Kwangu ni usumbufu View attachment 2873408
Dah kmmk, 4% na data on
 
Usiwe serious sana na maisha mzee. Hii ni social platform tu, watu wana maisha yao huko duniani.
 
Kwakweli hua sipend. I think it's just because I'm sooo succumbed with truth. Mm najua like ni appreciation ya kile nilichopost kwamba mtu kakipenda sasa. Haiwezekani hata nikiweka emoj unipe likes... Pengine mtu anaamua kufatilia mada yako fulani just kwakua ndio tavia yake kutoa like basi anasambaza likes..
Mm hata uniudhi namna gani hua siweki mtu ignore ila swala la like kwakweli sipendi. That's me, and I can't help it.
Wote waliopo ignore list sababu ni hiyo but si kwa ubaya. Kwangu ni usumbufu View attachment 2873408
List haitoshi mkuu😃😃
 
Sisi ni members ila raraa reree na Extrovert na Half american na min -me ni marobot😃
Facebook like sound ndio iliniharibu, nina uraibu wa kile kimlio cha like kwenye facebook. Nakipenda.

Sema mtandao ndio changamoto nowdays nimepunguza. Hapa nilipo ni dakika ya 5 inapita nacomment inagoma kupublish, zitakuja comment sita sita.
 
Kwakweli hua sipend. I think it's just because I'm sooo succumbed with truth. Mm najua like ni appreciation ya kile nilichopost kwamba mtu kakipenda sasa. Haiwezekani hata nikiweka emoj unipe likes... Pengine mtu anaamua kufatilia mada yako fulani just kwakua ndio tavia yake kutoa like basi anasambaza likes..
Mm hata uniudhi namna gani hua siweki mtu ignore ila swala la like kwakweli sipendi. That's me, and I can't help it.
Wote waliopo ignore list sababu ni hiyo but si kwa ubaya. Kwangu ni usumbufu View attachment 2873408
Kwenye hiyo list kuna mtu kakosekana
 
Back
Top Bottom