Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Ongeza ongeza hapoKuna kadhaa hawajaonekana. Kuna mmoja anajiita mgonga likes kabisa.. Basi hadi ni kero.
Ila wewe ni mfupa mgumu nashindwa kuelewa nikuanzaje😛😛
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza ongeza hapoKuna kadhaa hawajaonekana. Kuna mmoja anajiita mgonga likes kabisa.. Basi hadi ni kero.
Ila wewe ni mfupa mgumu nashindwa kuelewa nikuanzaje😛😛
Hua napigwa hadi ban ya miezi 9 ila siachi kufuta ndio niogope kua reported??? 🤣🤣Na sisi tuliom quote tunaonekana wehu 😂😂akifuta nam report.
Leejay ndio kakosekana. Nasubiri siku nikute like 70 toka kwake ndio itakua bye bye. Inasumbua sanaKwenye hiyo list kuna mtu kakosekana
Nitakuwa nakuita manka na wewe 😄
LIni umeachana na kataa ndoa?Nikuoe?
Nikatae ndoa afu hawa wanawake wote nimuachie naniLIni umeachana na kataa ndoa?
Kwani wasiooa hawapati wanawake?Nikatae ndoa afu hawa wanawake wote nimuachie nani
Am ok,hapana ukisema napenda,umekosea ila sikasiriki...they just show love tu Haina haja ya kukasirikaKweli twatofautiana. Eti wewe unapenda🙄
Yao hao wote umepatia kabisa ongezea na huyu Leejay49
Hatakosa arostoRaraa reree
Hujamaliza ku comments ameshalike iwe usiku iwe mchana halafu iko kama hana changamoto za umeme
Hapo najua baada yake nitafuata mimiLeejay ndio kakosekana. Nasubiri siku nikute like 70 toka kwake ndio itakua bye bye. Inasumbua sana
Halafu nilitaka nikuambie hili. I'm watching your moves... LIKE pale inapotakiwa ni kusumbuanaHapo najua baada yake nitafuata mimi
Wanajua wenyewe!Wanafanya hvyo kwa malengo yapi
Kaa kwa kutulia mkuu uzuri wangu nasoma comments zote nazopita nazo na nazipa reaction stahiki.Halafu nilitaka nikuambie hili. I'm watching your moves... LIKE pale inapotakiwa ni kusumbuana
Kuna ban ya miezi 9?😂😂😂Hua napigwa hadi ban ya miezi 9 ila siachi kufuta ndio niogope kua reported??? 🤣🤣
Niko hapa mkuu