The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Tunataka kujua upande mwengine wa habari kwasababu kuna madogo wengine wana kiburi SanaCheck huyu ticha . Naona anawaiga police wa Samia. Ticha ni kilaza na hana maadili ya kazi.yake.
View attachment 3477014
Neno ''Usikute'' hapa lina maanisha kua hujui,huna uhakika au unahisi tu kua dogo anavuta bangi......Usikute huyo dent dent anavuta mibangi, ni mwizi, shoga na hana akili kichwani.
Halafu hapa unamsifu huyo Mwalimu kua ana utu bila hata kujua kosa la huyo mwanafunzi! kipi kimekufanya kuona kua huyo Mwalimu ana utu?Huyu mwalimu ana utu sana.
That is personal attack hiyo siyo adhabu ya mwanafuzi mwenye utovu wa nidhamuTunataka kujua upande mwengine wa habari kwasababu kuna madogo wengine wana kiburi Sana
jiriwaTunataka kujua upande mwengine wa habari kwasababu kuna madogo wengine wana kiburi Sana
shule za vipaji kama boys unamletea nani huu upanzi???kwanza watoto wote wameenda wakiwa wana kiu ya kujifunza,wachana na hizi shule mtoto anasoma na mpenzi wake.Sio jukumu lake aliloajiriwa mbona WA kwake wanaweza wanafanya ivyo Ila akawashindwa. Am sure mwalimu anaeijua kazi yake anapendwa na huwa hashiki fimbo, ticha mwenye alama zake. Kuna ticha mmoja tabora boys miaka iyo aliitwa kasubi (rip) aliheshimika Ile mbaya. Alikuwa akifundisha shule inakuwa ya kwanza fizikia Tanzania nzima. Mpaka advance na chuo ninetembelea misingi yake
jiriwa
kwamba mtoto mtovu wa nidhamu anatakiwa afanyweje????That is personal attack hiyo siyo adhabu ya mwanafuzi mwenye utovu wa nidhamu
huyo dogo ni singeli tupu,kama ni ishu halali asingekubali kupigwa aliyepita.Tunataka kujua upande mwengine wa habari kwasababu kuna madogo wengine wana kiburi Sana
Aliyeshindikana Rudisha nyumbani akalelewe na wazazi wake siyo kumuumiza/ Kuua, Mdomo na adhabu ndogo ndogo zinatosha sana kushape mwnaafunzi anayejielewa.kwamba mtoto mtovu wa nidhamu anatakiwa afanyweje????
hatuwezi onyesha kuwashindwa wanafunzi mara moja namna hiyo,mzazi pia anayetakiwa kukabidhiwa mwanaye lazima ajue na aone ni kweli mwanaye kashindikana.Aliyeshindikana Rudisha nyumbani akalelewe na wazazi wake siyo kumuumiza/ Kuua, Mdomo na adhabu ndogo ndogo zinatosha sana kushape mwnaafunzi anayejielewa.
Siyo kwa utaratibu huo.. nyie ndo mnaua hadi wanafunzi kwa vipigo hamjui mipaka yenu ya kazi mtakuja kufia jelahatuwezi onyesha kuwashindwa wanafunzi mara moja namna hiyo,mzazi pia anayetakiwa kukabidhiwa mwanaye lazima ajue na aone ni kweli mwanaye kashindikana.