Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
suala la usimamizi wa uchaguzi kwa mfumo tulionao nchi hii hata akiwekwa nani mamo yatatokea haya haya. walimu na polisi wanalaumiwa kuwasaidia serikali kwenye uchaguzi bila ya kuangalia mfumo mbovu uliopo hauwalindi na unawalazimisha kufanya hivyo kuokoa kibarua chao cha kuendesha maisha ,,, kama vile wananchi (ambao ni wengi) hawataki kuhusika moja kwa moja kwa kuhofia afya zao na maisha yao.Ndio wasimamizi wa Uchaguzi hao
mambo ya kutupia mzigo ni rahisi pale unapokua wewe sio sehemu ya hilo kundi