Huyu ni mwalimu wa shule gani anayempiga mwanafunzi mateke?

Huyu ni mwalimu wa shule gani anayempiga mwanafunzi mateke?

Kama kila shule itarecord mboko zinavyotembea,kuna uwezekano kila shule ikawa na walimu wawili au watatu mahabusu au wenye kesi mahakamani.
 
Wakati naona pichapicha nikajua dogo kapigika kwelikweli kumbe kaguswa tu.

Sasa hapo ticha ana kosa gani?? Naona Gwajima karuka nae jumlajumla.
 
Siyo kwa utaratibu huo.. nyie ndo mnaua hadi wanafunzi kwa vipigo hamjui mipaka yenu ya kazi mtakuja kufia jela
mtoto anayekataa kuchapwa fimbo,anawezakukataa pia kuondoka shule kwa kusimamishwa masomo,lazima ajue kwamba akikaza mgongo watu wanaweza kumvunja ugoko kabisa,ila kwa vile kuna namna gently ya kudeal naye,watu wamechagua hiyo awapishe kwa muda ajitafakari.

jela zipo,lakini wahanga wajeuri wana nafasi ndogo sana ya kuwafunga watu.
 
Ndicho wanachoweza watu wa siku hizi yaani ni kurikodi tu. Kama kweli anafanya ukatili si mngeshuka kwenye gari mzuie ukatili

Sijaona ukatili wowote hapo tena mimi nimeona busara kubwa maana dogo kachapwa kidogo tu kisha hata alipoleta reaction mwalimu amerusha mguu kwa hasira tu mara moja na akaweza kujicontrol akamchukua kumpeleka ofisini
 
Una mtoto? Au shoga wewe uzalishi?
 
Kweli kuna video za wanafunzi kupigwa mashuleni kikatili lakini kusema na hii ni mojawapo hapana nakataa

Kwa hali ilivyo mashuleni ndugu zangu kama hii clip mnaipigia kelele basi kuna moja kati ya haya
  • Mmesoma shule za mabasi ya njano
  • Mmezama miguu miwili kwenye hii kampeni ya kijinga ya kuzuia viboko
  • Mnakomenti kwa bila kuplay video iliyoambatishwa
  • Mnafuata mkumbo katika kutoa maoni
 
kwamba dogo amechinjwa au una visa na huyu mwalimu!!!!

Nyumbani kuna wazazi,shuleni kuna waalimu,mtaani kuna polisi.

kila hatua unatakiwa kuvuka ukiwa uko tayari kwa inyofuata.huyu anaonekana kashabishana sana na baba yake au mama yake kamshindwa,shule hapa wanakomaa wakimkatia tamaa ni hasara tayari hiyo.
Siungi adhabu ya mwalimu kwasababu sijui kosa la mtoto. Lakini ikiwa mtoto ni wale vichwa ngumu, basi alistahili. Kumgomea mwalimu ama kumbishia tena mbele ya wanafunzi wenzako kisa haki za binadamu ni upuuzi.

Haki za binadamu ndio zimetufikisha mahali ambapo binti kubeba mimba kabla hajaolewa inaonekana ni sawa wakati ni kinyume na maadili. Haki zabinadamu zimefanya mmomonyoko wa maadili uwe mkubwa kiasi kwamba mtoto kufokea wakubwa ni sawa.

Haki za binadamu nyoko
 
Mi nione mwanangu anachapwa hivyo huyo mwalimu ningemvizia jirani tu hapo bonda sana hadi anye shenzy kabisa
 
Kweli kuna video za wanafunzi kupigwa mashuleni kikatili lakini kusema na hii ni mojawapo hapana nakataa

Kwa hali ilivyo mashuleni ndugu zangu kama hii clip mnaipigia kelele basi kuna moja kati ya haya
  • Mmesoma shule za mabasi ya njano
  • Mmezama miguu miwili kwenye hii kampeni ya kijinga ya kuzuia viboko
  • Mnakomenti kwa bila kuplay video iliyoambatishwa
  • Mnafuata mkumbo katika kutoa maoni
Hawa ni wajinga wajinga tu.Kwenye malezi wanataka kuleta mihemko ya kisiasa.Huyo mtoto anaonekana ni kiburi.Wenzake wamepigwa fimbo za jawaida tu,Yeye kupigwa moja kainuka,Unainukaje wkt tayari wenzako wameshapigwa?Mwalimu akikuacha unadhani wale waliopigwa watamuonaje mwalimu!Huoni anamshushia heshima mwalimu?Angekubali angepigwa viboko vingapi?Wenzake Si wamechapwa viboko viwili tu?Yeye ni nani!Mwalimu ana busara sana.Anaweza kujicontrol na kuthibiti hasira yake.Na huo ndo ualimu.Hongera sana kwaje
 
Kashafukuzwa kazi refa Esta hata hajaangalia VAR katoa kadi nyekundu kwa hisia kali sana
 
Kweli kuna video za wanafunzi kupigwa mashuleni kikatili lakini kusema na hii ni mojawapo hapana nakataa

Kwa hali ilivyo mashuleni ndugu zangu kama hii clip mnaipigia kelele basi kuna moja kati ya haya
  • Mmesoma shule za mabasi ya njano
  • Mmezama miguu miwili kwenye hii kampeni ya kijinga ya kuzuia viboko
  • Mnakomenti kwa bila kuplay video iliyoambatishwa
  • Mnafuata mkumbo katika kutoa maoni
nakuunga mkono mkuu, na kwa kukazia hata huko mabasi ya njano vipigo hivyo kawaida, labda wale mabasi njano kweli kweli (maana kuna zingine ni ya njano ila sio za kidon)

suluhisho serikali ingekuja na mkakati wa kudumu wa mfumo wa adhabu, maana maonjwa kwa sasa ni mengi kuna walimu wapo jela kwa wanafunzi kufariki baada ya adhabu.

maana kwa sasa matoto yenyewe majinga + na adhabu zenyewe nazo zimesha prove failure
 
Back
Top Bottom