suala la usimamizi wa uchaguzi kwa mfumo tulionao nchi hii hata akiwekwa nani mamo yatatokea haya haya. walimu na polisi wanalaumiwa kuwasaidia serikali kwenye uchaguzi bila ya kuangalia mfumo mbovu uliopo hauwalindi na unawalazimisha kufanya hivyo kuokoa kibarua chao cha kuendesha maisha ,,, kama vile wananchi (ambao ni wengi) hawataki kuhusika moja kwa moja kwa kuhofia afya zao na maisha yao.Ndio wasimamizi wa Uchaguzi hao
Kiburi kila mtu anacho, hata wewe. Na kipigo hakiwezi kuwa suluhisho.Tunataka kujua upande mwengine wa habari kwasababu kuna madogo wengine wana kiburi Sana
Mtoto mtovu wa nidhamu ni kazi ya wazazi wake. Wewe hauwezi kumbadilisha ndani ya siku moja kwa kipigo. Suluhisho ni kuachana naye au ukitumia hisia wote mnakuwa sawa na utafukuzwa kazi kama huyo mwalimu.kwamba mtoto mtovu wa nidhamu anatakiwa afanyweje????
Hii sio 1980, ni 2025, a civilised world. Washenzi wote wasiotumia akili wanawajibishwa kisheria haijalishi nani ameanza. Ukiendelea kuwa na mtazamo huo basi jiandae kuishia papaya.mtoto anayekataa kuchapwa fimbo,anawezakukataa pia kuondoka shule kwa kusimamishwa masomo,lazima ajue kwamba akikaza mgongo watu wanaweza kumvunja ugoko kabisa,ila kwa vile kuna namna gently ya kudeal naye,watu wamechagua hiyo awapishe kwa muda ajitafakari.
jela zipo,lakini wahanga wajeuri wana nafasi ndogo sana ya kuwafunga watu.
Hoja yako ya kianithihuyo dogo ni singeli tupu,kama ni ishu halali asingekubali kupigwa aliyepita.
None of that. Bali huu ndio mwanzo wa effects za globalisation. Video kama hii miaka 10 nyuma kila mtu angekubaliana na wewe.Kweli kuna video za wanafunzi kupigwa mashuleni kikatili lakini kusema na hii ni mojawapo hapana nakataa
Kwa hali ilivyo mashuleni ndugu zangu kama hii clip mnaipigia kelele basi kuna moja kati ya haya
- Mmesoma shule za mabasi ya njano
- Mmezama miguu miwili kwenye hii kampeni ya kijinga ya kuzuia viboko
- Mnakomenti kwa bila kuplay video iliyoambatishwa
- Mnafuata mkumbo katika kutoa maoni
Huyo si mwalimu bali mnyama. Kufukuzwa kazi. hakutoshi. Anapaswa apelekwe mahakamani akajifunze utu. Hata hili toto linalomrekodi ni jinyama. Linarekodi kutrend na siyo kulaani uhayawani huuCheck huyu ticha . Naona anawaiga police wa Samia. Ticha ni kilaza na hana maadili ya kazi yake
Pia soma ~ Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi
Dah,Check huyu ticha . Naona anawaiga police wa Samia. Ticha ni kilaza na hana maadili ya kazi yake
Pia soma ~ Mwalimu wa Shule ya Sekondari Makumbusho (Dar) afukuzwa kwa kosa la kutoa adhabu kali kwa Mwanafunzi
kufukuzwa kazi hatuwezi sema ni hasara,maadam alifanya si kwa chuki bali kwa nia njema,basi atapata kazi nzuri kuliko hiyo.Mtoto mtovu wa nidhamu ni kazi ya wazazi wake. Wewe hauwezi kumbadilisha ndani ya siku moja kwa kipigo. Suluhisho ni kuachana naye au ukitumia hisia wote mnakuwa sawa na utafukuzwa kazi kama huyo mwalimu.