Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Capt Hadock, hatuangamii, tulishaangamia siku nyingi na kinachoendelea sasa ni how to get back on the right track ndio maana PPRA ikazaliwa.Baba Enock,
mimi naomba Masihi arudi haraka maana kwa mtizamo kama wa Pasco tumekwisha au kwa maneno mengine tunaangamia.
.Ni vizuri saana kumjadili mtu kama kuna maslahi ya Taifa ndani yake yaani kinachojadiliwa mwisho wake unakuwa ni ukombozi kwa Taifa. Katika mjadala huu inakera saana pale ambapo watu wanajadili issue ya kuwafanya wanaume wenzake. Kuna issue jamani ni mambo ya kusikia na hakuna hata mmoja anayeweza kujitokeza akathibitisha, they are merely allegations. Tena basi inwezekana wengine wanakuwa washindani wake katika biashara wanaona fursa ni JF kuchafuana. Hivi ni kweli kwamba hatuwezi kujadili issue au mtu within the limit kwenye maslahi ya nchi??? Hivi hatuoni issue chafu zilizojadiliwa juu ya huyu bwana zinapunguza credibility ya JF? (kuwa specific namaanisha issue za kuwaingilia watu kinyume na maumbile). Huyu bwana akiamua kuishataki JF kwa post za namna ile hatuyaoni madhara? Hata km hatashtaki je tunamtendea haki? Au hatufaham issue km zile zinaweza hata kuwa chanzo cha kusambaratisha familia yake? Binafsi nashauri tuziondoe post zile na pia tujifunze kuchangia kwa kuheshim utu wa mtu au kutoa hoja ambayo inaweza kuthibitishika.
Pasco, I am glad umegusa karibu kila angle ambayo kwakweli nimeridhika saana. Naamini hiyo code ni muhim saana kuwa nayo maana uhuru wa kuchangia haina maana kumchafua mwenzako. Mie mwenyewe sina muda mrefu saana JF km member. Nilikuwa guest kwa miaka kadhaa. Baadhi ya issue zilinisukuma kuanza kuandika na pia kuona haja km Mtanzania kuweza kuzungumza yanayonikera au yanayonifurahisha..
Bahati mzuri Tanzania bado hatuna cyber law, ndio maana hata yule Mzee wa Ze Uta.. hata angekamatwa Tanzania, sijui tungemshitaki kwa sheria ipi.
Mambo ya Internet yamegusiwa kwenye sheria mpya za Anti Money Laundering na Terrorism Act huku hatuna any basic legistlation kuhusu internet. Hivyo kitanzania kosa ni kutukana kwa sauti na watu wasikie, kuchapisha print na watu wa wasome, au kubroadcast matangazo watu wasikie, hili la kubandika humu sio kosa kisheria.
Ila pia nakubaliana na wewe, ustaarabu ni kitu muhimu kwa heshima ya JF, baadhi ya wachangia muhimu hufikia wakati wakaidharau JF na kuachana nayo, japo naamini bado wanaingia kama guest.
Toka kufungwa kwa ile Ze Uta.., members wa JF wameongezeka kwa kasi na kunawakati unafungua unatafuta topic ya maana, unakosa, unaishia kufunga.
Kwa vile hili ni jukwaa huru, tunawajibika kuheshimu mawazo ya kila mtu, ila pia tunaweza kuweka code of ethics on 'right to privacy' ili JF isitumiwe kama tool ya 'character Assasination' at the moment, there is nothing JF can do for now, just go on to 'take the bitter with the sweet' ila naamini huko mbele, we can do something.
JF Idumu.
bnhai, mimi naamini katika ukweli, only the truth will prevail, japo uwongo ukisemwa sana mwisho wake huonekana kama ukweli machoni na masikioni mwa watu, lakini in realty, sio ukweli mioyoni mwa wahusika, hivyo kwa vile mambo ya ndoa ni mambo ya moyoni, hata ukimtungia mtu uwongo vipi kuhusu maisha yake binafsi, moyoni utabaki ni uwongo na ndoa zitabaki salama.Pasco, I am glad umegusa karibu kila angle ambayo kwakweli nimeridhika saana. Naamini hiyo code ni muhim saana kuwa nayo maana uhuru wa kuchangia haina maana kumchafua mwenzako. Mie mwenyewe sina muda mrefu saana JF km member. Nilikuwa guest kwa miaka kadhaa. Baadhi ya issue zilinisukuma kuanza kuandika na pia kuona haja km Mtanzania kuweza kuzungumza yanayonikera au yanayonifurahisha.
Binafsi nashauri wakati tunasubiri hizo codes na katika kupwaya kwa sheria zetu basi tuanze kuchukua wenyewe kwa kuona hatuandiki yale yenye kuleta madhara kwa jamii yetu. Mf yanayoweza kusambaratisha ndoa za watu nk.
Ni vizuri saana kumjadili mtu kama kuna maslahi ya Taifa ndani yake yaani kinachojadiliwa mwisho wake unakuwa ni ukombozi kwa Taifa. Katika mjadala huu inakera saana pale ambapo watu wanajadili issue ya kuwafanya wanaume wenzake. Kuna issue jamani ni mambo ya kusikia na hakuna hata mmoja anayeweza kujitokeza akathibitisha, they are merely allegations. Tena basi inwezekana wengine wanakuwa washindani wake katika biashara wanaona fursa ni JF kuchafuana. Hivi ni kweli kwamba hatuwezi kujadili issue au mtu within the limit kwenye maslahi ya nchi??? Hivi hatuoni issue chafu zilizojadiliwa juu ya huyu bwana zinapunguza credibility ya JF? (kuwa specific namaanisha issue za kuwaingilia watu kinyume na maumbile). Huyu bwana akiamua kuishataki JF kwa post za namna ile hatuyaoni madhara? Hata km hatashtaki je tunamtendea haki? Au hatufaham issue km zile zinaweza hata kuwa chanzo cha kusambaratisha familia yake? Binafsi nashauri tuziondoe post zile na pia tujifunze kuchangia kwa kuheshim utu wa mtu au kutoa hoja ambayo inaweza kuthibitishika.
sijui nakumbuka chochote hapa??? mafuta Eastern DRC..........Kabila Jr.....the late Omar Ali Juma.........mmh,kaaaaazi kwelikweli!!!
Balbou, Merei never involved in politcs. He is just a crook business man period. He has nevere been involved in Meremeta, he has never been in the army, he is a mwarabu and they live in Morogoro. His young brother Islam is the Commoro representative. They were the owners of the former TIOT and they are building a cement factory at mbagala. they are also building a fuel depot at kigamboni. he frequents DRC as he has some business there!!!!! men if do not know someone don't talk or write!!!Hivi Mboma anaendesha biashara ngapi sasa hivi ndani ya Tanzania na nje ya Tz? na aliingiaingiaje jeshini mpaka kuukwaa ukuu wa jeshi? yaelekea ni mchafuuu na hatakasiki kwa sabuni wala majani ya mpapai, kwa karibu sana anahusika na Meremeta ambayo iliuza dhahabu lakini hakuna hata senti moja iliyorudi Buhemba wala TATC Nyumbu KBH, Ndio maana alihangaika sana eti awe mbunge ili apate kuongeza nguvu ktk kundi lao la akina serukamba,
Balbou, Merei never involved in politcs. He is just a crook business man period. He has nevere been involved in Meremeta, he has never been in the army, he is a mwarabu and they live in Morogoro. His young brother Islam is the Commoro representative. They were the owners of the former TIOT and they are building a cement factory at mbagala. they are also building a fuel depot at kigamboni. he frequents DRC as he has some business there!!!!! men if do not know someone don't talk or write!!!
Balbou, Merei never involved in politcs. He is just a crook business man period. He has nevere been involved in Meremeta, he has never been in the army, he is a mwarabu and they live in Morogoro. His young brother Islam is the Commoro representative. They were the owners of the former TIOT and they are building a cement factory at mbagala. they are also building a fuel depot at kigamboni. he frequents DRC as he has some business there!!!!! men if do not know someone don't talk or write!!!
Kuna usemi unasema hivi lisemwalo lipo,kama halipo laja.Ukiangalia matukio yote kwanza yanaanza kama minong'ono na baadaye huwa habari za kweli,anzia. EPA,njoo majengo pacha ya bank kuu,njoo nyumba ya gavana,Richmond yote ilikuwa minon'ono na mwisho habariMh na ile ripoti ya UN kuihusisha Bongo na uuzaji wa silaha DRC ukiunganisha dots hapo waweza kuta MBOMA.... balhabou...waasi DRC hahaha unaibuka na bomu baya sana hapo. anayebisha kwamba ni uongo mimi na doubt credibility yake sababu hivi vitu vinafanyika na watu wanaona, wale wale wapambe ndo wanaenda zungumza kijiweni na habari zinasambaa. Mfano halisi kuna mbunge wa Songea mjini alikuwa na asili ya somali(Msomali) alikamtwa na pembe za ndovu live kwenye landlover 110 miaka ya 1985-1986. kabla ya hapo tuhuma zilikuwa kama hizi zinazoandikwa hapa JF, mwenyewe alikataa lkn watu wa karibu yake walisema kuwa jamaa anafanya hiyo biashara, ilipita km miaka minne hivi hatimaye ikafika siku ya siku akakamatwa na akavuliwa ubunge. Kwa hali ya kawaida siwezi kukuzushia tuhuma wakati sikufahamu, wale watu wa karibu always haiwi siri lazima watasema tuu, kwa wanawake wao, vijiweni,kwenye ma baa na ndiko habari husambaa
Gudlack, mimi sio kibaraka bali nasema ukweli. TIOT IMEFILISIKA NA WALA HAIKUFILISIWA WALA HAIJAPEWA MFILISI IT JUST DIED NATURAL DEATH. SUMAYE HAJAWAHI KUWA TIOT, HII NI KAMPUNI WHICH WAS RIGHT MANAGED FROM THE BEGINNING. ALSO THEY HAD MOST OF THEIR ASSETS MOTGAGED AND THEY SOLD TO PAY BACK LOANS FROM BANK.inawezekana wewe ni kibaraka wake, kwani mpaka agombee ubunge ndo uwe mwanasiasa??? kampuni yake ya TIOT haijafilisiwa kwa sababu za kisiasa??? Kamuulize Sumayi, usifikiri watu wanajiandikia tu mambo hapa, kama amekutuma uje umsafishe mwambie amechelewa????
hana hiyo muscle huyu jamaa kabisaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!balbou, merei japo ni business man lakini katika uchaguzi wa mwaka 2005 alinunulia ccm magari na kila wilaya ilipata garimoja