Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,326
Wakuu bila kupoteza muda twendeni kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Jana mida ya saa tatu usiku narudi nyumbani nikapumzike huku maeneo ya kwetu kipunguni ikabidi nichukue bodaboda inirudishe nyumbani na sikuwa mbali na nyumbani nilikuwa maeneo ya karibu na nyumbani kama mtaa wa 7 na ninakoishi baada ya kupanda bodaboda mwenye bodaboda akapita mtaa mmoja uko kimya sana tukakutana na paka mwenye rangi ya mabaka meupe na meusi akawa anaikimbiza pikipiki yetu kama hatua ukipiga hatua umbali aliotukimbiza yule paka miguu 12 ya mtu nzima nilipomwambia yule kijana wa bodaboda aongeze mwendo na alipotuona anatukosa akatoa sauti na kulia nyauuuuuuuu! SASA SIJUI HUYU PAKA WA NAMNA GANI PAKA ASIO NA UOGA wakuu!
Post sent using JamiiForums mobile app
Post sent using JamiiForums mobile app