Huyu paka wa maajabu kweli!

Huyu paka wa maajabu kweli!

Abbasfarudume

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
1,625
Reaction score
1,326
Wakuu bila kupoteza muda twendeni kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Jana mida ya saa tatu usiku narudi nyumbani nikapumzike huku maeneo ya kwetu kipunguni ikabidi nichukue bodaboda inirudishe nyumbani na sikuwa mbali na nyumbani nilikuwa maeneo ya karibu na nyumbani kama mtaa wa 7 na ninakoishi baada ya kupanda bodaboda mwenye bodaboda akapita mtaa mmoja uko kimya sana tukakutana na paka mwenye rangi ya mabaka meupe na meusi akawa anaikimbiza pikipiki yetu kama hatua ukipiga hatua umbali aliotukimbiza yule paka miguu 12 ya mtu nzima nilipomwambia yule kijana wa bodaboda aongeze mwendo na alipotuona anatukosa akatoa sauti na kulia nyauuuuuuuu! SASA SIJUI HUYU PAKA WA NAMNA GANI PAKA ASIO NA UOGA wakuu!

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Noma

Post sent using JamiiForums mobile app
 
ITAKUWA UNA DENI LAKE ULIMKOPA HUKULIPA

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Paka jasiri huyo au we ulihisi ni wa namna gani

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Angekuwa mbwa sawa kukukimbiza nisingestuka lkn paka nimeshangaa mkuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Acha Uoga Kidume! Nyau tu anakufanya ulale na mawazo. Mngesimama mkampa mabuti tu.
 
Huyo paka zamani nilikuwa namuona kwenye betri za "Eveready" Shika paka power.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Wakuu bila kupoteza muda twendeni kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Jana mida ya saa tatu usiku narudi nyumbani nikapumzike huku maeneo ya kwetu kipunguni ikabidi nichukue bodaboda inirudishe nyumbani na sikuwa mbali na nyumbani nilikuwa maeneo ya karibu na nyumbani kama mtaa wa 7 na ninakoishi baada ya kupanda bodaboda mwenye bodaboda akapita mtaa mmoja uko kimya sana tukakutana na paka mwenye rangi ya mabaka meupe na meusi akawa anaikimbiza pikipiki yetu kama hatua ukipiga hatua umbali aliotukimbiza yule paka miguu 12 ya mtu nzima nilipomwambia yule kijana wa bodaboda aongeze mwendo na alipotuona anatukosa akatoa sauti na kulia nyauuuuuuuu! SASA SIJUI HUYU PAKA WA NAMNA GANI PAKA ASIO NA UOGA wakuu!

Post sent using JamiiForums mobile app
Uliposema kipumguni nikakonkludi huyo paka atakuwa ana asili ya Kikurya mkuu.
Pole sana.
 
Back
Top Bottom