Mkalimani wa taifa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 753
- 1,290
Van boy mtu mbad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Van boy mtu mbad
mimi sisuki,nipende tafadhaliYaani hizo swagger za kusuka siyo kabisa, sipendi mkaka mzima eti ndiyo kioo cha jamii😬😬
Nakupenda Shrek😬mimi sisuki,nipende tafadhali
😍😍😍😍 rasmi sasa Shrek nimepata Mrs.Nakupenda Shrek😬
anza kunitag tag sasa,nitumie hela ya vocha,nitumie na nauli,nipe na poket mane,wakina mama sasa hivi mmeshika hatamuNakupenda Shrek😬
Asije tu kuwa mchicha mwibaHawa vijana wasanii ndio huku walikofikia mpaka kusuka yeboyebo za wanawake, hawa sio ddio wanaojiita vioo vya jamii?View attachment 1734840
Mmmh unapenda kushuka milima eeh(kuslide)?anza kunitag tag sasa,nitumie hela ya vocha,nitumie na nauli,nipe na poket mane,wakina mama sasa hivi mmeshika hatamu
😂😂😂😂😂😂 sasa hivi hatutumi nauli wala hatutumi na yakutolea Mkuu,wanawake mnaweza,sasa ni zamu yenuMmmh unapenda kushuka milima eeh(kuslide)?
Shauri yako usipotuma wewe Juma kule anatuma , wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji tu😀😀😂😂😂😂😂😂 sasa hivi hatutumi nauli wala hatutumi na yakutolea Mkuu,wanawake mnaweza,sasa ni zamu yenu
ohooo ngoja nirudishe kadi ya chama kule chama cha wanaume wabahili TzShauri yako usipotuma wewe Juma kule anatuma , wanawake wazuri utaishia kuwaita shemeji tu😀😀
We baki na hiyo kadi tu ila usije kutulaumu hatukupi ushirikiano😀ohooo ngoja nirudishe kadi ya chama kule chama cha wanaume wabahili Tz
No yaani mambo ya kike kike yote kwa mtoto wa kiume aargh naskia huwa wanafanyiwaga hadi make ups muda wa kushoot videos aisee😬hereni vipi
ushirikiano muhimu kwa kweli,yaan usisahau cc@shrek talesWe baki na hiyo kadi tu ila usije kutulaumu hatukupi ushirikiano😀
Hahaa hayo mambo ya smart na mahondaw tu humu wengine hatutakiwi kutumia CC😀ushirikiano muhimu kwa kweli,yaan usisahau cc@shrek tales
Sioni mbaya...wamasai wanasuka, wahimba kabila la huko namibia pia wanasuka na kuna baadhi ya wazungu pia tamaduni zao zinaruhusu kusuka zamani walikua wakijulikana kama Vikings mpaka leo kuna baadhi ya wazungu bado wanaendeleza hiyo tamaduni. Wahindi wanaume pia wanasuka (Red Indians)Kwa yeye ni sawa kwakua yuko kwenye usanii na msanii lazima uwe mbunifu na utoke kitofauti.Hawa vijana wasanii ndio huku walikofikia mpaka kusuka yeboyebo za wanawake, hawa sio ddio wanaojiita vioo vya jamii?View attachment 1734840
wataachana tuHahaa hayo mambo ya smart na mahondaw tu humu wengine hatutakiwi kutumia CC😀
Wivu tuu😏wataachana tu
wanajikuta sana,imagine couple ya Shrek tales na Ms Financial services(badili jina please)Wivu tuu😏
Mrembo wa kinyakyusa.