Huyu Rayvanny ndiko alikofikia?

Huyu Rayvanny ndiko alikofikia?

Hawa vijana wasanii ndio huku walikofikia mpaka kusuka yeboyebo za wanawake, hawa sio ddio wanaojiita vioo vya jamii?View attachment 1734840
Sioni mbaya...wamasai wanasuka, wahimba kabila la huko namibia pia wanasuka na kuna baadhi ya wazungu pia tamaduni zao zinaruhusu kusuka zamani walikua wakijulikana kama Vikings mpaka leo kuna baadhi ya wazungu bado wanaendeleza hiyo tamaduni. Wahindi wanaume pia wanasuka (Red Indians)Kwa yeye ni sawa kwakua yuko kwenye usanii na msanii lazima uwe mbunifu na utoke kitofauti.
 
BADO KUVAA PEDI TU.................... KUBABABABEENYAAA
 
Back
Top Bottom