Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Kwanza unamjua ni nani si unaandika tu
2014 aliechukua ballon d or alikua kabeba kombe gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2014 aliechukua ballon d or alikua kabeba kombe gani?
Kwahiyo unataka kuniambia Bingwa wa Hispania 2009-2010 alikua nani?Mbona messi 2010 alitoka kapa bila kombe ila alipewa ballon d'or?? Semeni tu kwamba wanapendelea hao wawili ila makombe haijawahi kuwa kigezo kwa ronaldo au messi kupewa ballon d'or
La liga2010 je??
Nililenga 2010 japo hata 2014 pia inazua mjadalaKwanza unamjua ni nani si unaandika tu
Iniesta alishinda la liga na world cup..kwanini asipewe yeyeLa liga
Hawa wadau utawaweza basiKwanza unamjua ni nani si unaandika tu
Kwa nini asipewe iniesta aliyeshinda world cup!?Kwahiyo unataka kuniambia Bingwa wa Hispania 2009-2010 alikua nani?
Duh anamzidi sneijder??La liga
Ikisema hivyo sasa utataka ata Pique nae apewe kwakua alishinda La liga na World Cup, Chukua ndoo ata moja kwanza alafu ndio tuangalie ubora wako.....Iniesta alishinda la liga na world cup..kwanini asipewe yeye
Mkuu acha tu nlishangaa sana mchezaji bora wa champions league hakuwa messi mchezaji bora wa world cup hakuwa messi ila ballon d'or akapewa messiKwa nini asipewe iniesta aliyeshinda world cup!?
Hakuna vigezo,ukweli ni kwamba kina rushwa toka kwa..kampuni zinazowavisha messi na ronaldo..sneider alistahiki 2010 kwa vigezo vyoteIkisema hivyo sasa utataka ata Pique nae apewe kwakua alishinda La liga na World Cup, Chukua ndoo ata moja kwanza alafu ndio tuangalie ubora wako.....
Wwe unasema vikombe ndio kigezo ndio Nmekupa data kwamba sneijder aliyekuwa top scorer world cup.... Aliyekuwa mchezaji wa pili kwa ubora world cup 2010.... Aliyeshinda mataji yote ulaya na serie A ila hakupewa ballon d'orKwahiyo unataka kuniambia Bingwa wa Hispania 2009-2010 alikua nani?
[emoji121]Ikisema hivyo sasa utataka ata Pique nae apewe kwakua alishinda La liga na World Cup, Chukua ndoo ata moja kwanza alafu ndio tuangalie ubora wako.....
Kwa nini asipewe iniesta aliyeshinda world cup!?
Tuzo ya mchezaji bora lakini ili uchukue uchezaji bora inatakiwa ubora wako uonekane na huo ubora wako uisaidie timu yako kupata kombe/vikombe sasa huyo unaemuongelea ukimlinganisha na Mess kwa huo muda ni nani alikua bora kuliko mwenzake?Duh anamzidi sneijder??
Silver medal worldcup
Silver ball world cup
Champions league
UEFA Super cup
Seria A
Club world cup
Kama vigezo ni mchango kwa timu hapo messi alimkutia wapi Wesley sneijder achia mbali Diego militto???
Ballon d'or iko biased tu hamna utetezi.... Kuna kipindi bayern alikuwa on fire ulaya nzima kuanzia ligi yake mpaka champions league ila hakuna cha ribery neur muller wala robben aliyebeba ballon d'or kama vigezo ni makombe xavi na iniesta walistahili ballon d'or kwa mchango wao kwenye makombe 3 mfululizo ya spain
Ni kweli lakini sneijder kwa ule mwaka alikua on fire alistahili tuzo kiukweli akifuatiwa na diego forlan maana walizibeba sana timu zao hadi kubeba hayo makombe nashangaa tuzo ikaenda kwa messi hta yye hakutegemea!!! Alijua hajastahiliTuzo ya mchezaji bora lakini ili uchukue uchezaji bora inatakiwa ubora wako uonekane na huo ubora wako uisaidie timu yako kupata kombe/vikombe sasa huyo unaemuongelea ukimlinganisha na Mess kwa huo muda ni nani alikua bora kuliko mwenzake?
Ok fine tufanye sneijder alionewa kufupisha huu mjadara ila uzuri nikwamba hawa wote tunawabishania hapa walikua na Ndoo au sio?...Ni kweli lakini sneijder kwa ule mwaka alikua on fire alistahili tuzo kiukweli akifuatiwa na diego forlan maana walizibeba sana timu zao hadi kubeba hayo makombe nashangaa tuzo ikaenda kwa messi hta yye hakutegemea!!! Alijua hajastahili
Ok fine tufanye sneijder alionewa kufupisha huu mjadara ila uzuri nikwamba hawa wote tunawabishania hapa walikua na Ndoo au sio?...tuzo ya mchezaji haina maana,mpira sio tenesi,ili timu ishinde kuna nguvu kazi ya wengi..haya mambo wapeleke kwenye ndondi,kuogelea nk
Turudi kwenye uzi sasa...
Jamaa anataka Salah apewe ballon d'or ata bilakua na Ndoo haileti maana. You must have something first