Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Point yangu ni kwamba KUBEBA MAKOMBE hakujawahi kuwa kigezo cha messi na ronaldo kupewa ballon d'or sababu kila msimu huwa kuna timu zinachukua Treble ulaya yaani LIGI, FA cup na champions league ila hazijawahi kutoa player of the year kivipi leo ndio mtumie hiki kma kigezo cha kumnyima salah???Ok fine tufanye sneijder alionewa kufupisha huu mjadara ila uzuri nikwamba hawa wote tunawabishania hapa walikua na Ndoo au sio?...
Turudi kwenye uzi sasa...
Jamaa anataka Salah apewe ballon d'or ata bilakua na Ndoo haileti maana. You must have something first
and Salah has got all those creditial. He simply deserve ithili haliangaliwi. wanaangalia performance na tabia nje na ndani ya uwanja.
ndio habari ya mujini duniani kote. Allah ampe wepesSalah ni Director.
Ingekuwa criteria ni lazima uwe umeshinda kombe tu basi list ya wachezaji mpaka 23 ili wapigiwe kura ya nini? si wangetoa majina ya wachezaji tu walioshinda makombe list ndefu ya nini. mfano Salah kawa mchezaji bora EPL lakini hajachukuwa kombe wako wachezaji wa city wamechukuwa kombe lakini hakupata. sitaki kufananisha ila point yangu kuna tofauti ya team bora na mchezaji bora. kawaida mchezaji bora duniani hawatizami kuchukuwa vikombe maana hata kina Gerald walishawahi kuwa on short list japo hawakuwa na vikombe. Hoja je Salah baada ya mchango wake mwaka huu anastahili au hapana, kwangu mimi anastahili na sio kusaidia Liverpool tu pia team ya Egypt kwenda W.C baada ya miaka mingi. Tumpe stahili yake.Kwahiyo unataka kuniambia Bingwa wa Hispania 2009-2010 alikua nani?
ndio habari ya mujini duniani kote. Allah ampe wepes
SURE BROLiver wachukue kombe au wasichukue msimu huu huyu jamaa kaonyesha kiwango cha hali ya juu sana. Anastahil i Ballon d'or.
sema Mohd Salah mbona wengine unawaita kwa majina yao Ronaldo au MessiHuyu mwarabu anastahi.... Yupo on [emoji91]
Tatizo mwarabuYap ckupingi kwa hilo broo, ushabiki tuweke pembeni huyu bwana ana kitu cha ziada asee
2010 messi alichukua konbe gani?Duh! Balon bila kombe mzee?
2010 messi alichukua kombe gani?Hahah!! Mkuu unakosea kusema hivyo huwa wanaangalia timu yako umeisaidia vipi kupata mafanikio na mafanikio yenyewe ndio makombe, ingekua kama hivyo unavyosema wewe Mess angekua anachukua kila mwaka
Morata huyu anaebadilishana na Giroud?Salah bado hata hajafikia uchezaji wa Morata avute mguu kwanza.