BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Mo salah ana goli 43 penati moja tu mashindano yote.. çr7 goli 42 ndan yake penat 20..sasa angalien nan apewe balon dor
Messi or Salaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo salah ana goli 43 penati moja tu mashindano yote.. çr7 goli 42 ndan yake penat 20..sasa angalien nan apewe balon dor
😀😀😀😀😀😀 watu wanafunga magoli yalioenda chuo...yeye na mapenati yake alafu end of the day anapewa ballon kama mchezo vile 😀😀😀 raha sana.
Gemu ya juventus nikachoka kabisa kafunga penati kajamaa kakavua hadi shati utadhani kafunga goli ka ustadi sana😀😀😀😀😀😀 watu wanafunga magoli yalioenda chuo...yeye na mapenati yake alafu end of the day anapewa ballon kama mchezo vile 😀😀😀 raha sana.
Avatar yako inaonyesha tayari wewe ni hater wa CR7. Fans wengi wa maradona ni fans wa messi na ni sworn in haters wa CR7.Ronaldo kinachombeba ni teamates. Anasubiri apewe afunge....alafu huyu huyu mnalazimisha eti afanane na Messi!!! Kwa lipi!!! Messi mpambanaji bwana, this season kaiwezesha tim yake kubena del rey and la liga loading....
ronaldo yeye ni striker tu kama akina de lima suarez aguero n.k.
Ballon de or
Messi 60%.....Salah 40%
Ronaldo simpi nafasi labda wafanye uhuni tu...
Gemu ya juventus nikachoka kabisa kafunga penati kajamaa kakavua hadi shati utadhani kafunga goli ka ustadi sana
Avatar yako inaonyesha tayari wewe ni hater wa CR7. Fans wengi wa maradona ni fans wa messi na ni sworn in haters wa CR7.
Kuweka kumbukumbu sawa, ana 4 trophies za champions league, ana 5 medals za ballon D'or, anazo trophies zote ambazo Messi anazo upande wa club na anayo ya european championship (european nations). Amecheza ligi mbili tofauti na zote amechafua inavyotakiwa.
Mimi pia namkubali Messi ila natambua unyama wa CR7, sio kama wewe!
Kwani ni mchezaji bora wa mwaka au miaka? Punguzeni mahaba rudini kwenye uhalisiaNajua utabisha, rekodi yake ya nyuma ya kubeba vikombe ilimbeba pia.
Ni kwamba Hujanielewa.Kwani ni mchezaji bora wa mwaka au miaka? Punguzeni mahaba rudini kwenye uhalisia
Messi namkubali sana, ila natambua hawa wachezaji wana flavor tufauti ya uchezaji na mmoja ana kipaji cha kuzaliwa nacho na mwingine ni hard wark imemfikisha hapo. Wewe sio mtu wa mpira, hauujui mpira bali ni shabiki wa mtu. Mimi sio professional wa soka ila bado nacheza mpira wa ndondo na mpira naujua ndani nje hivyo sishabikii mtu mmoja.Wewe barafu! Endelea tu kumsifia jamaa yako,,, lakini moyoni unamkubali sana tu Messi 😀😀😀 ndiye mwenye mpira wake bwana
mkuu, naona wote mmeisahau record ya goli 91 ambayo itaishi miaka mingi sana....ule msimu Messi alkuwa kwenye ubora wa juu sana..ukiplus na barca bora katika historia...imagine world cup ile spain na style yao ya barca walkuwa wanafunga kagoli kamoja moja. yaan walimkosa Messi pekee wangekua wanashinda ata goli 5 kila gemWwe unasema vikombe ndio kigezo ndio Nmekupa data kwamba sneijder aliyekuwa top scorer world cup.... Aliyekuwa mchezaji wa pili kwa ubora world cup 2010.... Aliyeshinda mataji yote ulaya na serie A ila hakupewa ballon d'or
Wakati huo huo messi aliyeambulia kombe moja msimu mzima tena kwa kuunga unga huku akitunguliwa na inter kwenye mtoano eti ndio anachukua ballon d'or !!
2010 aliyedeserve ni either sneijder,iniesta,milito au forlan.... Huyo forlan alibeba kuanzia kombe la mfalme mpaka europa league na super cup hadi kuibeba timu kufika nusu fainali world cup alafu akawa mchezaji bora wa world cup ila bado messi akatwaa ballon d'or eti kigezo bado ni makombe na mchango kwa timu????
Hahaahahhaha mungu anawaona eti
Sawa-sawa Mr.BlackPanther,Hahaaa mkuu Alisina! Messi bado ana nafasi kubwa tu ya kuchukua mbili zingine.... labda wamfanyie uhuni tu. Kwa Ronaldo/mmaliziaji ndio bye bye...hata hivyo anabahati sana ukilinganisha na Messi ambae performance yake tunaiona ni zaidi ya any player...ila wangelikuwa wanaangalia performance naamini kabisa from 2008-2018 Messi angelamba ballon zote and fifa best player. Hata mafans wake wanalijua hilo 😀😀😀
Cc PAGAN
Safi sana,Messi namkubali sana, ila natambua hawa wachezaji wana flavor tufauti ya uchezaji na mmoja ana kipaji cha kuzaliwa nacho na mwingine ni hard wark imemfikisha hapo. Wewe sio mtu wa mpira, hauujui mpira bali ni shabiki wa mtu. Mimi sio professional wa soka ila bado nacheza mpira wa ndondo na mpira naujua ndani nje hivyo sishabikii mtu mmoja.
Safi sana,Messi namkubali sana, ila natambua hawa wachezaji wana flavor tufauti ya uchezaji na mmoja ana kipaji cha kuzaliwa nacho na mwingine ni hard wark imemfikisha hapo. Wewe sio mtu wa mpira, hauujui mpira bali ni shabiki wa mtu. Mimi sio professional wa soka ila bado nacheza mpira wa ndondo na mpira naujua ndani nje hivyo sishabikii mtu mmoja.
Sawa-sawa Mr.BlackPanther,
Mimi linapokuja suala la Ronaldo na Mess huwa nakaa pembeni naamini wote wanauwezo na kila moja anaubora katika eneo lake husika.
Kwa mfano katika umaliziaji wa kichwa goli Cr7 yupo vyema sana,kutoa assit mess yupo vyema sana,kupita wachezaji watatu au wawili au wane hii kitu ni rahisi kwa mess pia utumiaji wa miguu yote miwili kwa ustadu mkubwa Cr7 yupo vyema.
Hivyo hawa watu kwangu wote nawaona bora.
Ila wadau tunataka Mo-Sarah anga lote ni Mo-salah.
Sasa kama alikuwa kwenye ubora wa juu ila hakubeba kombe kivp sahvi watu watoe hoja humu kuwa eti hawawezi toa ballon d'or kwa salah kisa hana kombe ndio nashangaa kwamba kwanni kwa messi hamuangalii makombe ila kwa salah mnataka makombe kwanza??mkuu, naona wote mmeisahau record ya goli 91 ambayo itaishi miaka mingi sana....ule msimu Messi alkuwa kwenye ubora wa juu sana..ukiplus na barca bora katika historia...imagine world cup ile spain na style yao ya barca walkuwa wanafunga kagoli kamoja moja. yaan walimkosa Messi pekee wangekua wanashinda ata goli 5 kila gem
Mo-salah yupo vyema,Jamaa ni zaidi ya Mesi aisee. Nimemfananisha sana na mfalme wa Soka Duniani (Pele) wa Brazil zama zake!
Hyo nayo ni hoja lakini sifa anazostahili leo apewe kabisa hlo la baadae anajua Mungu!Mo-salah yupo vyema,
Wadau wengine wanadai apewe muda manaake wa angalie next season kama atafanya zaiidi ya haya,vipi wewe unakubaliana na wao..?
Ndio kabisa! M'la ni m'la Leo M'la jana kala nini,liwezekanalo Leo lisingoje kesho,Leo ni Leo kesho ni ya manyani.Tunashughulika na wakati uliopo.Hyo nayo ni hoja lakini sifa anazostahili leo apewe kabisa hlo la baadae anajua Mungu!
Umeona mambo hayo!?Ndio kabisa! M'la ni m'la Leo M'la jana kala nini,liwezekanalo Leo lisingoje kesho,Leo ni Leo kesho ni ya manyani.Tunashughulika na wakati uliopo.
Jambo la msingi na jema Liverpool watwae UEFA hapo anga lote toka Jerusalem mpaka Madina itakuwa ni Salah-salah.