Huyu Sallam kumbe ndio kila kitu kwa Diamond

....
 
H Hapo kwenye toa hela uingize hela
...
 
Unatoka kusimamiwa na Meneja wa namna hii unaenda kwa wafanyabiashara wamiliki Radio kisa tu wana hela..Asee kuna watu wanajitaftia vifo vya ajabu sana na aibu kimuziki.
 
Miongoni mwa wadada wachache wanaojielewa kuliko mfano
 
Unatoka kusimamiwa na Meneja wa namna hii unaenda kwa wafanyabiashara wamiliki Radio kisa tu wana hela..Asee kuna watu wanajitaftia vifo vya ajabu sana na aibu kimuziki.
Mkuu umeongea point kubwa sana, Harmonize alipaswa kujitegemea under same management, kubadili management kutamcost sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…