Huyu Sallam kumbe ndio kila kitu kwa Diamond

Huyu Sallam kumbe ndio kila kitu kwa Diamond

Sallam ni muwazi sana yani ni mtu pekee anayeweza kumwambia straight Diamond kwamba show ya leo umechemsha , hii nyimbo ni mbaya usitoe, watu hawapendi tabia hii iache nk
Hiyo ni kweli kabisa mkuu, na ndo maana hata katika ule wimbo 'utanipenda' kuna sehemu diamond anasema "hata harmonize nkimpgia, ANANIFOKEA kama Sallam"
 
a6e74f358092864b22691ec890c252bc.jpg

Huyo Dada aliye na jide hapo ndo salaam anamzungumzia anaitwa Seven Mosha ni meneja wa Jide na Kiba.
Ana undugu na davis mosha????
 
Ninayosema yana maana sababu hakuna anayejua kesho,
Anayepanga ni Rabana tena ameificha ni confidential,
Nnayosema yana maana, sababu hakuna anaejua kesho,
Anaepanga ni Rabana, ila anaificha ni confidential,
 
Iyo ndo roho y WCB. Nakumbuka last time alizunguka nchi kadhaa ulaya kumtaftia shows diamond ambazo ndo izo alipiga tour katika nchi kama germany, belgium, usa n.k babu tale na fella hawana jeuri ya kufanya anayofanya huyu jamaa. Wao kazi yao kubwa ni fitna za ndani za kuweka watu wa kushangilia na kumzomea kiba kwenye show. Salaam sk is a mastermind of tanzania music industry
wabongo kwanini hatuwezi kusoma na kucomment kulingana na maudhui tu ya article yenyewe? kwanini tumithilishe watu bila hata ya sababu maalum? Tale na Fella wameingiaje hapa? Ulikuwepo walipokuwa wanalipa watu kuzomea? Ndio sababu hizi pekee zinazopelekea watanzania daima kuwa nyuma maana tunaendekeza majungu kuliko hata mafanikio. Na mbaya Zaidi mengi ya majungu yenyewe hayana hata vigezo Zaidi ya chuki binafsi.
 
Mdau mkubwa sana tena sana labda umeanza kumfahamu miaka ya karibuni na kama ni tangu zamani basi hukuwa ukimfuatilia. Naweza kuthubutu ameaanza kitambo kuliko Fella ambae ni mkongwe....
Sawa ruge
 
Kwakweli hata mimi. Baadae nilijikuta naishia na hitimisho kwa kuukubali ule msemo maalufu "kuzaliwa bongo form six".
Babu Tale na Fella? Haikuwahi kuniingia akilini kabisa!
Maarufu
 
Fella kaishi South Africa miaka mingi
halafu Fella ndo aliemwambia Diamond lazima Salaam awepo
so Fella bado muhimu ingawa hata mimi najiuliza maswali sipati majibu
Kweli jamani tuwape heshima yao hata timu zetu kuna ligi ya ndani na pia ya kimataifa fella na tale wanamaliza ligi ya nyumbani jamaa wanamuachia anga za kimataifa.
 
wabongo kwanini hatuwezi kusoma na kucomment kulingana na maudhui tu ya article yenyewe? kwanini tumithilishe watu bila hata ya sababu maalum? Tale na Fella wameingiaje hapa? Ulikuwepo walipokuwa wanalipa watu kuzomea? Ndio sababu hizi pekee zinazopelekea watanzania daima kuwa nyuma maana tunaendekeza majungu kuliko hata mafanikio. Na mbaya Zaidi mengi ya majungu yenyewe hayana hata vigezo Zaidi ya chuki binafsi.

We wakishua... Hujui haya mambo. Kama una akili tega sikio ujifunze ya kwetu. Sisi tunaoishi nao uswahilini ndo tunajua mengi yanayotokea nyuma ya pazia la industry hii. We utasubiri uione nyimbo tu mtv base.
 
Mkuu kila kitu kinaumuhimu wake..

Deals za ubalozi TZ huwa anasimamia Babu Tale, unajuwa zinaingiza pesa kiasi gani kwa Diamond?

Collable ya Neyo na Diamond Babutale ndio alifanya maongezi kilakitu mpaka kufikia maelewano licha ya Diamond kukubalika na Neyo kabla ya hapo..

Afu ukija kwa Fela huyu jamaa analijua game vizuri sana. Watu huwa wanazungumzia "FITNA" kijuujuu lakini ni kitu muhimu sana kwenye management ikiwemo timing ya utoaji nyimbo, nyimbo ipi, kutafuta wadau wa kufadhili promotions (kama Dr. Mwaka alivyotoa milioni 50 tangazo lake likae kwenye video ya utanipenda), shows za ndani bongo na hta nchi karibu, kuwa karibu na watu wa media n.k...

Kila mmoja anaumuhimu wake..!!!

Hilo nalo neno! Noted broh!
 
Kumbe sallam ni kichwa?? anisaidie basi mie producer nitoke!
 
Ndio na yeye ndo mwenye wcb hahahahaha wabongo mumekosa kila kitu kasoro roho mbaya na kukosa akili..[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
 
NIMEMKUBALI SANA HUYU JAMAA NA TIMU NZIMA YA DIAMOND ......KWELI WAPO KIKAZI ZAID


nipenda penda pale anapokwabia kuna vitu lazima ulazimsihe usitoa ngoma ukaacha itembee yenyewe na kuwaachia mashabiki yafaa ulazimishe hata kama ngoma kali safi sana.
SIRI IMEFICHUKA...ndio maana nyimbo mbovu zinapigwa sana..USA wanaita PAYOLA is Music Business Prostitution. Pimps and hoes (radio and record labels) run this game and, of course, it's all about money
 
Back
Top Bottom