Hakuwa na uwezo wa kufanya uchaguzi na wapinzani ataupata wapi uwezo wa kuwatuliza wananchi wake.hivi ni kwamba hana uwezo?
Raisi Samia hana washauri wazuri.
Hilo ndo tatizo kubwa.
Pia zipo taarifa humu za TISS kukosa weledi.
Lawama ni lazima ziende kwa TISS kwa kukosa kumshauri mdhamini wao.
Nnaposema washauri ni tangia ameapishwa kwamba kuna ushauri wa kuufuata...sio suala la washauri.
..washauri wanaoboresha tu kile alichonacho Raisi.
..Raisi anatakiwa kuwa mtu ambaye ubongo unachemka, msomi anayeweza kuchakata taarifa, kusoma situation, kutoa muelekeo wa nchi.
..Hivi kuna anayeelewa taaluma ya Mama Abduli ni nini? Na mchango wake katika taaluma yake ni nini? Je, ni mtu anayeheshimiwa kitaaluma katika fani yake?
She has made us a laughing stock!..hivi ni kwamba hana uwezo?
..au hajali haya yanayoendelea?
..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?
NB:
..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
..hivi ni kwamba hana uwezo?
..au hajali haya yanayoendelea?
..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?
NB:
..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Hana washauri walobobea katika masuala ya usalama wa Taifa.Washauri wake huenda ni wa hovyo au labda ni uchura kiziwi tu.
Mdanganye kibibi wa watu..hivi ni kwamba hana uwezo?
..au hajali haya yanayoendelea?
..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?
NB:
..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Anatupeleka kubaya sana.Hana washauri walobobea katika masuala ya usalama wa Taifa.
Kama wapo basi wamefungwa mdomo "big time".
Putin, Trump na Xi wao wawasikiliza washauri ambao huangalia maslahi ya mataifa hayo na ndo waona ziara zisizokwisha kati yao, hiyo ni kazi ya washauri wa usalama wa taifa katika kuhakikisha maslahi ya nchi yalindwa kwa gharama yoyote ile.
Hata kama kuna tofauti ya siasa na mengine lakini yanapokuja masuala ya maslahi ya taifa kama biashara na uchumi washauri wapo kwa kzi ya kushauri mambo mazito kwa maslahi ya nchi hizo.
Nasubiri nitangazwe na mwenyekiti wa tume ya uchaguzi niliyemteua mwenyewe..hivi ni kwamba hana uwezo?
..au hajali haya yanayoendelea?
..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?
NB:
..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Na huyu mama ndicho anachosubiri kupinduliwa tu, hamna namna. Vitu vinatokea yeye yupo kimya tu, huo sio uongozi. Haya maandamano ya uchaguzi yanaeza kupita salama lakini huko mbeleni iko siku kitanuka haswa na hakuna wa kuzuia. Huyu mama hawezi kumaliza hii miaka 5 watamuondoa tu, mie sio sheikh Yahya-rip, ila watu wamemchoka haswaa...hivi ni kwamba hana uwezo?
..au hajali haya yanayoendelea?
..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?
NB:
..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Milton was good until Idd Amin and 'Pombe' ' engulfed his life...hivi ni kwamba hana uwezo?
..au hajali haya yanayoendelea?
..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?
NB:
..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Kule kukubali tu, atangazwe kuwa mshindi katika zoezi la kipuuzi kama hili lililofanyika ni upumbavu wa kipekee kabisa kama litaruhusiwa lifanyike.Na huyu mama ndicho anachosubiri kupinduliwa tu, hamna namna. Vitu vinatokea yeye yupo kimya tu, huo sio uongozi. Haya maandamano ya uchaguzi yanaeza kupita salama lakini huko mbeleni iko siku kitanuka haswa na hakuna wa kuzuia. Huyu mama hawezi kumaliza hii miaka 5 watamuondoa tu, mie sio sheikh Yahya-rip, ila watu wamemchoka haswaa.
Ndo maana nikasema hana washauri kwani waliopo hawana stratejia ya kumwezesha kuja kwenye runinga na kuongea na Taifa.Na huyu mama ndicho anachosubiri kupinduliwa tu, hamna namna. Vitu vinatokea yeye yupo kimya tu, huo sio uongozi. Haya maandamano ya uchaguzi yanaeza kupita salama lakini huko mbeleni iko siku kitanuka haswa na hakuna wa kuzuia. Huyu mama hawezi kumaliza hii miaka 5 watamuondoa tu, mie sio sheikh Yahya-rip, ila watu wamemchoka haswaa.
Mkuu kwa nini unalaumu washauri? Hatuwezi kujua wanachomshauri na kama anasikiliza! Mbona kina Polepole walimpa ushauri mzuri sana? Tatizo mimi naona ni kuzungukwa na wapambe badala ya washauri. Mpambe yeye anakupamba ili apate maslahi yake. Hata kama uko uchi wanakuambia nguo ulizovaa zinapendeza.Raisi Samia hana washauri wazuri.
Hilo ndo tatizo kubwa.
Pia TISS kukosa weledi na kukubali kutumika visivyo.
Lawama ni lazima ziende kwa TISS kwa kukosa kumshauri mdhamini wao kwa maslahi mapana ya nchi.
Mkuu, utakuwa hujaelewa uzuri mabaya ya Milton Obote yapo yatafute uelewe, alikuwa "ruthless leader " yaani katili na idara yake ya wasojulikana iliongozwa na mpwa wake.Milton was good until Idd Amin and 'Pombe' ' engulfed his life.