Huyu Samia ana tabia kama za Milton Obote. Kwanini hajitokezi na kulituliza Taifa? Je, hajali, au hana uwezo?

Huyu Samia ana tabia kama za Milton Obote. Kwanini hajitokezi na kulituliza Taifa? Je, hajali, au hana uwezo?

Mama nadhani kibri kilimjaa plus kuwasikiliza washauri machawa na kuwapuuza Washauri rasmi ,wale washauri rasmi wengi ukipitia CVs zao zipo saafi,
 
Mkuu kwa nini unalaumu washauri? Hatuwezi kujua wanachomshauri na kama anasikiliza! Mbona kina Polepole walimpa ushauri mzuri sana? Tatizo mimi naona ni kuzungukwa na wapambe badala ya washauri. Mpambe yeye anakupamba ili apate maslahi yake. Hata kama uko uchi wanakuambia nguo ulizovaa zinapendeza.
Ndo maana nikasema endapo mdhamini aonyesha kukaidi ushauri unozingatia kulinda maslahi ya taifa, basi washauri huchukua hatua ambazo zaweza kuwa ni muhimu kwa wakati huo.

Washauri ni pamoja na TISS na baraza la usalama wa nchi.

Endapo hawa wote hawana "say" kama anavyosema mchungaji Gwajima au Humphrey Polepole basi ni lazima hatua za kimedani zichukuliwe.
 
Mkuu utakuwa hujaelewa uzuri mabaya ya Milton Obote yapo yatafute uelewe, alikuwa "ruthless leader " yaani katili na idara yake ya wasojulikana iliongozwa na mpwa wake.
Duh!
Hivi unaelewa ninacho sema mimi; naona hujaelewa..
Historia ya Obote ninaifahamu vizuri kabisa wala sihitaji kukumbushwa na mtu..
Na fahamu kuwa sijasema popote kuwa hakufanya mabaya katika awamu zake zote alizo shika madaraka.

But all that is beside the point.

Nikiangalia mada yako hii hapa nashindwa kabisa kuchangia hoja unazotaka zijadiliwe kwenye mada.
Utaanzia wapi kuwasema "washauri" na kuwatenga na mhusika mwenyewe!

Haya mambo ya kuhamishia lawama sijui huwa yanamsaidia nani hasa?

Na kwa nini hii iwe ndiyo mada ya kujadiliwa hapa wakati huu 'critical' hivi kwa nchi yetu, badala ya ku'focus' kwenye juhudi za kuukomesha utawala wa kiovu namna hii?
Hiyo TUME inayo endelea na kazi yake kama kwaida sasa hivi, hilo wewe halikupi mashaka makubwa juu ya mipango inavyo endelea kuwalaza akili waTanzania?

Kwa nini hii TUME FEKI wasifungashiwe vilago mara moja, kuna sababu yoyote ya kuwaacha hawa waendelee na zoezi ambalo ni la kihalifu kiasi hiki?
 
Ndo maana nasema wa kulaumiwa ni hawa washauri na hapa sizungumzii washauri binafsi nazungumzia washauri walio na kazi ya kulinda maslahi ya nchi na wakiona tuelekeako si kuzuri hupanga namna ya kwenda "Mugabe way" kwa utulivu.

Nina uhakika jambo la jana limewachanganya sana washauri wote tu wa karibu na wale official yaani TISS na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na tumeona taarifa za akiba zao kwenye mabenkin yule mwingine mwanae akicheza na mabunda ya fedha.

Nina imani wapo washauri wazalendo na mida hii wapo wapanga namna ya nchi kwenda mbele.
 
Mkuu, Madagascar washauri waliketi na mdhamini wakashindwa kuafikiana wakawaeleza jeshi na mwisho tumeona kilotokea.

Na si Antananarivo tu bali Niger, Burkina Faso na Mali kote huko washauri walipoona mdhamini wao ni mkaidi walichukua hatua stahiki.

Ndo maana nasema wa kulaumiwa ni hawa washauri na hapa sizungumzii washauri binafsi nazungumzia washauri walio na kazi yakulinda maslahi ya nchi na wakiona tuelekeako si kuzuri hupanga namna ya kwenda "Mugabe way" kwa utulivu.

Nina uhakika jambo la jana limewachanganya sana washauri wote tu wa karibu na wale official yaani TISS na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na tumeona taarifa za akiba zao kwenye mabenki.
Basi waeleze hao washauri unao wafahamu wewe kumhusu huyu mwanamke; washauri wasiojuwa ukaidi mkubwa na ulaghai mwingi ambao ameufanya tokea ashike madaraka; hawa ni washauri kweli, au wasaka fursa tu!

Hata sione sababu yoyote ya kuyahusisha hayo ya hizo nchi nyingine ulizo zitaja kama ushahidi wa haya unayotaka tuyaelewe hapa kwetu.

Jambo muhimu zaidi, kama unajuwa njia ya KUZUIA hawa Tume wasiendelee na shughuli yao chafu mara moja; hapo nitaungana na wewe moja kwa moja.
Tume ni muhimu isitishe zoezi la uchafuzi lililokataliwa na waTanzania. Kama kuna "washauri" wanaoweza kutusaidia katika hili la dharura wakati huu, sote tutashukuru sana.
 
Mkuu kwa nini unalaumu washauri? Hatuwezi kujua wanachomshauri na kama anasikiliza! Mbona kina Polepole walimpa ushauri mzuri sana? Tatizo mimi naona ni kuzungukwa na wapambe badala ya washauri. Mpambe yeye anakupamba ili apate maslahi yake. Hata kama uko uchi wanakuambia nguo ulizovaa zinapendeza.
Sasa huyo mpambe nuksi ni Jakaya, maana ujinga huu wote umeanzia kwa huyo mzee huko ndani ya li chama lao. Jakaya kumpitisha kote huyo mama ni mpango anausuka ili mwanae aje ashike kijiti. Ila watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 47, kitanuka sana watu wamepinda balaa. Naomba yasije tokea kama yale ya Libya tu.
 
Mkuu, utakuwa hujaelewa uzuri mabaya ya Milton Obote yapo yatafute uelewe, alikuwa "ruthless leader " yaani katili na idara yake ya wasojulikana iliongozwa na mpwa wake.

Alichapisha jarida aloliita Common Man's Charter lilohusu sera ya ujamaa lakini akachukua asilimia karibu 60 ya mashirika ya umma na mabenki (kama Nyerere na Azimio la Arusha) lakini hapohapo bei ya bidhaa khasa chakula zikapanda sana lakini kwa ujinga wake akaanza kuwashughulikia wafanyabiashara wa kiasia ambao ndo walokuwa wenye maduka.

Lakini hapo awali mwaka 1964 kule jeshini palitokea uasi na katika madai yao wanajeshi wakataka wapandishiwe mishahara (kama ilivyotokea kwa Nyerere na Kambona akaenda kule jeshini) lakini waziri wake wa ulinzi bwana Onama akajikuta akiwekwa rumande na wanajeshi hadi hapo madai yao yalipofanyiwa kazi.

Lakini madai yao yalijumuisha kupandishwa vyeo kwa maofisa wake na mmoja wa maofisa hao alikuwa ni Iddi Amini ambae alipandishwa cheo kuwa jenerali (huu yasemwa ulikuwa ni mpango ulojulikana na mataifa ya magharibi)

Hivyo siku ya siku ailipofika "when he had to go" ndo Milton Obote akapinduliwa na jeshi Iddi Amini akiwa na cheo cha Field Marshal akiwa ziarani SIngapore na lilikuwa ni zoezi rahisi sana.

Hivyo Milton Obote hakuwa mtu poa hata kidogo.

..shukrani sana kwa elimu hii kwa vijana wetu.

..ukipata muda wapitishe vijana ktk uzembe wa Obote katika awamu yake ya 2 [ Obote II ].
 
Ndo maana nikasema hana washauri kwani waliopo hawana stratejia ya kumwezesha kuja kwenye runinga na kuongea na Taifa.

TISS wapaswa kuwa na stratejia kadhaa kwamba ikifeli moja ingine yaja na kadhalika.

Zikifeli zote basi JWTZ kushauriwa kujiandaa kufanya kitu chaitwa "transition of power" ambayo hutakiwa kufanywa kwa utulivu sana yaani "smoothly."

Na kwa kuwa sie ni watu wataratibu na wastaarabu sana basi twatumia "Mugabe doctrine".
Actualy washauri wapo but hajaamua kuwasikiliza instead anasikiliza kikundi kidogo?
 
Hauwezi kutatua tatizo kama wewe ni sehemu ya tatizo ni kama kulisukuma gari ukiwa ndani yake 😃
 
Ndio tabia yake hasa yanapokuja maswala ya msingi anajificha siku akirudi utaona anapongeza simba au yanga.
Ni sifa moja wapo ya kiongozi mjinga na mbumbumbu .
 
..hivi ni kwamba hana uwezo?

..au hajali haya yanayoendelea?

..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?

NB:

..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Naona like ya Pascal Mayalla since 29oct
 
..hivi ni kwamba hana uwezo?

..au hajali haya yanayoendelea?

..kwanini hajitokezi na kuituliza nchi?

NB:

..Milton Obote alikuwa Raisi wa Uganda ambaye alishindwa kutoa uongozi wakati wa crisis nchini humo. Alikuwa na tabia ya kuacha mambo yajiendee yenyewe mwisho wake akapinduliwa.
Rais ni Mchengerwa, ndo anasubiriwa atoe mwelekeo eti
 
Back
Top Bottom