Huyu Samia ana tabia kama za Milton Obote. Kwanini hajitokezi na kulituliza Taifa? Je, hajali, au hana uwezo?

Mama nadhani kibri kilimjaa plus kuwasikiliza washauri machawa na kuwapuuza Washauri rasmi ,wale washauri rasmi wengi ukipitia CVs zao zipo saafi,
 
Ndo maana nikasema endapo mdhamini aonyesha kukaidi ushauri unozingatia kulinda maslahi ya taifa, basi washauri huchukua hatua ambazo zaweza kuwa ni muhimu kwa wakati huo.

Washauri ni pamoja na TISS na baraza la usalama wa nchi.

Endapo hawa wote hawana "say" kama anavyosema mchungaji Gwajima au Humphrey Polepole basi ni lazima hatua za kimedani zichukuliwe.
 
Mkuu utakuwa hujaelewa uzuri mabaya ya Milton Obote yapo yatafute uelewe, alikuwa "ruthless leader " yaani katili na idara yake ya wasojulikana iliongozwa na mpwa wake.
Duh!
Hivi unaelewa ninacho sema mimi; naona hujaelewa..
Historia ya Obote ninaifahamu vizuri kabisa wala sihitaji kukumbushwa na mtu..
Na fahamu kuwa sijasema popote kuwa hakufanya mabaya katika awamu zake zote alizo shika madaraka.

But all that is beside the point.

Nikiangalia mada yako hii hapa nashindwa kabisa kuchangia hoja unazotaka zijadiliwe kwenye mada.
Utaanzia wapi kuwasema "washauri" na kuwatenga na mhusika mwenyewe!

Haya mambo ya kuhamishia lawama sijui huwa yanamsaidia nani hasa?

Na kwa nini hii iwe ndiyo mada ya kujadiliwa hapa wakati huu 'critical' hivi kwa nchi yetu, badala ya ku'focus' kwenye juhudi za kuukomesha utawala wa kiovu namna hii?
Hiyo TUME inayo endelea na kazi yake kama kwaida sasa hivi, hilo wewe halikupi mashaka makubwa juu ya mipango inavyo endelea kuwalaza akili waTanzania?

Kwa nini hii TUME FEKI wasifungashiwe vilago mara moja, kuna sababu yoyote ya kuwaacha hawa waendelee na zoezi ambalo ni la kihalifu kiasi hiki?
 

Ndo maana nasema wa kulaumiwa ni hawa washauri na hapa sizungumzii washauri binafsi nazungumzia washauri walio na kazi ya kulinda maslahi ya nchi na wakiona tuelekeako si kuzuri hupanga namna ya kwenda "Mugabe way" kwa utulivu.

Nina uhakika jambo la jana limewachanganya sana washauri wote tu wa karibu na wale official yaani TISS na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na tumeona taarifa za akiba zao kwenye mabenkin yule mwingine mwanae akicheza na mabunda ya fedha.

Nina imani wapo washauri wazalendo na mida hii wapo wapanga namna ya nchi kwenda mbele.
 
Basi waeleze hao washauri unao wafahamu wewe kumhusu huyu mwanamke; washauri wasiojuwa ukaidi mkubwa na ulaghai mwingi ambao ameufanya tokea ashike madaraka; hawa ni washauri kweli, au wasaka fursa tu!

Hata sione sababu yoyote ya kuyahusisha hayo ya hizo nchi nyingine ulizo zitaja kama ushahidi wa haya unayotaka tuyaelewe hapa kwetu.

Jambo muhimu zaidi, kama unajuwa njia ya KUZUIA hawa Tume wasiendelee na shughuli yao chafu mara moja; hapo nitaungana na wewe moja kwa moja.
Tume ni muhimu isitishe zoezi la uchafuzi lililokataliwa na waTanzania. Kama kuna "washauri" wanaoweza kutusaidia katika hili la dharura wakati huu, sote tutashukuru sana.
 
Sasa huyo mpambe nuksi ni Jakaya, maana ujinga huu wote umeanzia kwa huyo mzee huko ndani ya li chama lao. Jakaya kumpitisha kote huyo mama ni mpango anausuka ili mwanae aje ashike kijiti. Ila watanzania wa sasa sio wale wa mwaka 47, kitanuka sana watu wamepinda balaa. Naomba yasije tokea kama yale ya Libya tu.
 

..shukrani sana kwa elimu hii kwa vijana wetu.

..ukipata muda wapitishe vijana ktk uzembe wa Obote katika awamu yake ya 2 [ Obote II ].
 
Actualy washauri wapo but hajaamua kuwasikiliza instead anasikiliza kikundi kidogo?
 
Hauwezi kutatua tatizo kama wewe ni sehemu ya tatizo ni kama kulisukuma gari ukiwa ndani yake 😃
 
Ndio tabia yake hasa yanapokuja maswala ya msingi anajificha siku akirudi utaona anapongeza simba au yanga.
Ni sifa moja wapo ya kiongozi mjinga na mbumbumbu .
 
Naona like ya Pascal Mayalla since 29oct
 
Rais ni Mchengerwa, ndo anasubiriwa atoe mwelekeo eti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…