Huyu secretari vipi?

Huyu secretari vipi?

Elia

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2009
Posts
3,425
Reaction score
568
Nimfanyenini huyu mtu jamani

617247439616F35CEE367D92756785.jpg
 
Kwanza omba mods wamhamishie kule kwenye picha alafu mwambie ashushe miguu chini haraka!Anakaa kama yeye ndo bosi?
 
Kwanza omba mods wamhamishie kule kwenye picha alafu mwambie ashushe miguu chini haraka!Anakaa kama yeye ndo bosi?

Sina uwezo wa kumfukuza tu ila aaaaaaaagh!
 
Hilo ndio tatizo la kuwa na mahusiano uya kimwili na masekretari, wanakuwa wao ndio ma boss.
 
Kwanza omba mods wamhamishie kule kwenye picha alafu mwambie ashushe miguu chini haraka!Anakaa kama yeye ndo bosi?
Tunajuaje kama yeye sio Bosi na aliyesimama ndo Secretary au messenger?
 
Hilo ndio tatizo la kuwa na mahusiano uya kimwili na masekretari, wanakuwa wao ndio ma boss.
Halafu ukimtaka akakupiga kibuti..... ndio mbaya zaidi
 
Duh! angewkuwepo ofcn kwetu huyu ingekuwa balaa manake hatamie sijui
ningefanya nini:love:
 
Duh! angewkuwepo ofcn kwetu huyu ingekuwa balaa manake hatamie sijui
ningefanya nini:love:

Hata kumkaripia inakua kazi ana mikao ya hatari saaana huyo mkuu, kama wewe ndio bosi utafanyaje?
 
hilo ndio tatizo la kuwa na mahusiano uya kimwili na masekretari, wanakuwa wao ndio ma boss.

sasa hata kama bosi ndo uvae kihasarahasara na kukaa kihasarahasara hivyo! Ndo mabosi wenu wa kike wanakaa mikao hiyo ofisini?
 
Mpotezee ata acha...........anajua anachokifanya,just ignore her.....shida yako unaenda unalegea kabisa pale.....kama anakunyima usingizi mwambie,akikupiga chini mwambie ulikuwa unamtania hukumaanisha na mwambie kuwa ofisini wanalalamika na clients pia kwa namna anavyovaa,aache au kibarua ndo kiwe kimeota nyasi.....na ujanja wako wote,huna lolote.................lol:smile-big:
 
Back
Top Bottom