Huyu shahidi wa tatu wa Jamhuri ana umuhimu gani katika hii kesi ya uhaini dhidi ya Lissu?

mangichogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
1,229
Reaction score
2,414
Mimi naona ni kupoteza muda kwasababu Tundu Lissu hajaikataa hiyo video. Amekubali hiyo video, amekubali maneno yaliyopo kwenye hiyo video.

Hapa kinachabishaniwa ni maneno aliyoyatamka kama yanaviashiria vya uhaini.

Mimi naona kinachofanyika hapo mahakamani ni mbwembwe tu na kupotezeana muda.. Mawakili wa jamhuri acheni mbwembwe leteni ushahidi na mashahidi muhimu sio hizi comedy
 
Tulia uje ucheke ...huyo si anajifanya mjuaji ...mwamba ana mzoom tu Lissu akianza kumdodosa utashangaa ujuaji unamwisha ..kila akiulizwa anajibu sijui
 
Labda atakuja kutoa habari za mafriji (cooling off fan) yanavyofanya kazi kwenye hardware na ndani ya database humo kwenye computer
Sasa hivi anajifanya ni expert wa software! Baadaye akianza kubanwa mbavu, atakuja na maelezo tofauti kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake.
 
Kesi ishaisha siku mingi wameambiwa waipeleke peleke mbele hadi Rais aapishwe alafu mwisho dpp atatangaza hana nia ya kuendelea nayo tena😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…