Huyu Sheikh haogopi? Anaitwa Sheikh nani?

CHADEMA WANA NGUVU NA SERIKALI IMEWASHINDWA KABISA.... HII SERIKALI DHAIFU SANA.
 
Akili yako imechanganyika na haja kubwa nakupuuza.
Ukitaka uheshimiwe jiheshimu sio unakuja tu kutukana mtu humjui ..... au wewe ni wakala wa TIGO PESA...... acha kutukana wanaume ....tusije dai miamala ya TIGO pesa yako ukaanza kulalamika dunia haina huruma shenzi kabisa
 
Nguruwe pitaaa
Sina mkuki miee
Wewe haramu kwanguuu
 
Hakika hajakosea...
Kituo kipo Ununio pale ndio sehemu ya kutupia miili asipoonekana muwe mnapitapita maeneo yale labda mnaweza mkamuokota maana tayari kikosi kishaelekezwa huko kwenda kumchukua
 
Ukitaka uheshimiwe jiheshimu sio unakuja tu kutukana mtu humjui ..... au wewe ni wakala wa TIGO PESA...... acha kutukana wanaume ....tusije dai miamala ya TIGO pesa yako ukaanza kulalamika dunia haina huruma shenzi kabisa
TIGO wakala mpaka JF?
 
Ameongea ukweli! Ila kwa wale wasiopenda kuusikia huo ukweli, watamuona ni mtu mbaya.

Cha kushangaza huwezi kusikia waimba mapambio wakikamatwa! Si ni kwa sababu tu wanawasifia watawala waliolewa madaraka, kupitia hayo mapambio yao!
Soon hatojulikana alipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…