GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Aisee!Amenishtua sana. Sijui anajiamini nini huyu.
View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1833607835252625518?t=68eo1ZL4cwRhCDx1btviCQ&s=19
Mwenyewe hapo nimecheka sanaaaa hiko kipigo shekhe mwenyewe anatamka huku anafumba macho kama anakiona hivi kwenye hisiaNimependa hapo kupigwa mpaka unatambaa
Elezea kunani huko! Mimi nataka kwanza wakate moto hawa waliofanya mauaji!Niko Tanga,ninayoyaona Tanga!
Kuna chama 2025, mgombea wake atakata moto.
Nje ya lile jambo lao wamejitokeza watu na kuimba hadharani hawamtaki "maaam" ni muuajiElezea kunani huko! Mimi nataka kwanza wakate moto hawa waliofanya mauaji!
Ukiwa bado kijana halafu ukawa CCM huwezi kuwa sawa upstairs kila anaekwambia ukweli utamuona m'baya.Mi
nimeandika kwa hiyo unasemaje mbwa nini wewe
uKWELIAmenishtua sana. Sijui anajiamini nini huyu.
View attachment 3093313
Habari zako mremboHakika hajakosea...
Siku za mwisho zipi? Zipoje?Mkiyaona haya basi mjue hizo ni dalili za siku za mwisho asema Bwana wa Majeshi