Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Endelea kujidanganya.......Mshkaji na demu wangu hawana mawasiliano ni watu ambao hawaendani kiitikadi na kitabia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kujidanganya.......Mshkaji na demu wangu hawana mawasiliano ni watu ambao hawaendani kiitikadi na kitabia
Tangulia wwNGOJA WAJE
Halafu huenda ikawa kweli. ThanksKasha ukwaa anataka kaburi liwe na wateja
Mambo haya mbona ni wakubwaKwani shule zimefungwa
PITA NAYE mwaya usilaze🤣🤣🤣🤣😅 damu itaganda!
Sawa
Sawa sawa mkuu.Ni jokes mkuu siunajua JF😁
JidanganyeMshkaji na demu wangu hawana mawasiliano ni watu ambao hawaendani kiitikadi na kitabia
Shemeji mwenyew mkimuona inataka moyo Sana kumkataa.Weee kuwezaa!!
Thubutuuuuuuuuu!
Kama kajilengesha afumue tu si anaitaka mwenyewe banaa!
😅😅😅Sijasoma maelezo, wewe mpitie tu .
🤣🤣🤣Hiyo Aya ya tatu umeandika mahesabu
Tusio na akili ndo tunakuja kama huku JF kuokota okota maarifa mkuuTuendelee kula vyakula vya baharini, kwa afya ya mwili na akili