Huyu shemeji nimuache au nipite naye?

Picha inavyoonekana mwanamke wako ameshaliwa na rafiki yako, na shemeji yako anajua; kama malipizi shemeji yako inaonekana analazimisha wewe na yeye mkulane, ili iwe ngoma droo.
Ingawa naona urafiki wenu huu na hao wanawake zenu hautakuwa na ndoa huko mbeleni zaidi ya staree tu, ina inavyoelekea mtacheza mechi ya wanne.
 
Mmh labda huenda ikawa
 
Hapo unaandaliwa mpango, kiukweli usikute hata huyo demu wako amekuchoka, anaandaa mazingira ili utembee na huyo rafiki yake ili na yeye apate tiketi ya kuhamia kwa rafiki yako.
 
Kama mtego Fulani hivi? Hao rafiki , mpenzi wako umewajua muda gani, ni watu wa Aina gani? Ilikuwa aje mpenzi wako akajuana kwa karibu na mpenzi wa rafiki yako wa karibu, sio kupitia wewe Bali umesema mpenzi wako ndio kakutambulisha rasmi kwa mpenzi wa rafiki yako kuwa wao ni shosti. Isije kuwa unazungukwa na kuna hali zaidi ya ufahamu wako unayoingizwa.
Usiendekeze ngono, ridhika na uliyenaye na ujue mipaka yako.
 
Umri wake na umri wako tafaadhal
 
Mkuu,Demu wako Ashaliwa,Sasa inabidi na wewe ule ili sasa muwe mnashare tu.Shtuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…