Huyu shoga angu kanichefua sana

Huyu shoga angu kanichefua sana

Utoto

kuna siku nliona watu wanalalamika hii kufunga profile kwamba mtu yupo interested kusoma sasa akifungua pamepigwa pin....nikajisemea aaah hebu nifungue watu wainjoi kusoma hiiiiiiiiiii

Nakutana na mtu kapitia sasa profile!!
Notification 300 hadi nkashtuka kunani jamani, koneksheni yangu imevuja nini....nafungua ni kimtu kimenipekua

Imebidi nifunge tena.
Usifunge Eva..

Acha hivyo hivyo..
 
Nyuzi za Eva leo zinafufuliwa tu, sijajua kuna shida gani..
Toka jana sijui juzi, kila nikifungua nakuta uzi wa bi chumvi..
Moyo ukaenda mbio huenda ndugu yetu kapatwa na jambo ama ndio umauti ushmfika,
Nilikuwa napuuzia kufungua. Mwishowe nikasema nitajua kinachoendelea mumo kwa mumo.
Nikafungua nyuzi kama 2,3 hivi namkuta PSL, nikajua aah, kijana anaiomba kijanja, nikafunga.. Ajabu leo naona tena.
 
Etiiiii jamani sahivi namiliki kanisa, hivi waumini wangu wa humu jf watanionaje 😹
Bby wangu wasikupe sonona. Naomba ulale usjibe chochote hadi asubuhi... Chaooo
Lavyuuuuu🥰🥰🥰🥰
 
Toka jana sijui juzi, kila nikifungua nakuta uzi wa bi chumvi..
Moyo ukaenda mbio huenda ndugu yetu kapatwa na jambo ama ndio umauti ushmfika,
Nilikuwa napuuzia kufungua. Mwishowe nikasema nitajua kinachoendelea mumo kwa mumo.
Nikafungua nyuzi kama 2,3 hivi namkuta PSL, nikajua aah, kijana anaiomba kijanja, nikafunga.. Ajabu leo naona tena.
🤣🤣🤣🤣🤣

Cc shemdalingi 😜
 
Ushanunuliwa nguo za sikukuuu ? 🤣🤣🤣
20240828_224659.jpg
 
Back
Top Bottom