Huyu shoga angu kanichefua sana

Huyu shoga angu kanichefua sana

Sio utoto..
Utoto

kuna siku nliona watu wanalalamika hii kufunga profile kwamba mtu yupo interested kusoma sasa akifungua pamepigwa pin....nikajisemea aaah hebu nifungue watu wainjoi kusoma hiiiiiiiiiii

Nakutana na mtu kapitia sasa profile!!
Notification 300 hadi nkashtuka kunani jamani, koneksheni yangu imevuja nini....nafungua ni kimtu kimenipekua

Imebidi nifunge tena.
 
Eeh sijui watu wana shida gani humu sijui hawana kazi
 
Back
Top Bottom