Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etiiiii jamani sahivi namiliki kanisa, hivi waumini wangu wa humu jf watanionaje 😹Ukute mtu kajiokokea zake af unafufua maovu 😁😁
Sio utoto..Huyu PSL god ana utoto sana
Hahahaa, ngoja nikusaidie kufungaEtiiiii jamani sahivi namiliki kanisa, hivi waumini wangu wa humu jf watanionaje 😹
Amen mtumishiHahahaa, ngoja nikusaidie kufunga
UtotoSio utoto..
Eeh sijui watu wana shida gani humu sijui hawana kaziUtoto
kuna siku nliona watu wanalalamika hii kufunga profile kwamba mtu yupo interested kusoma sasa akifungua pamepigwa pin....nikajisemea aaah hebu nifungue watu wainjoi kusoma hiiiiiiiiiii
Nakutana na mtu kapitia sasa profile!!
Notification 300 hadi nkashtuka kunani jamani, koneksheni yangu imevuja nini....nafungua ni kimtu kimenipekua
Kuna mtu kashikilia jimbo ?!Nilifungua watu wainjoi utoto 😹
Ombi la upapaa?? Ushachelewa
Mbona mshangao mkuuu!2014😱
Sa ulikua wapi nkiwa na miaka 20 umekuja kuibuka leo nna 53 😹Kuna mtu kashikilia jimbo ?!
Pesa ninae ya kutosha
Sa ulikua wapi nkiwa na miaka 20 umekuja kuibuka leo nna 53 😹
Miaka 53 bado kama 2014 ulikuwa hapo cbe au udom hapana bwana..Sa ulikua wapi nkiwa na miaka 20 umekuja kuibuka leo nna 53 😹
kuna watu wamekula chumviMbona mshangao mkuuu!
Kawaida mkuu hata wewe umejiunga 2015 kitambo sana ujuekuna watu wamekula chumvi
Jiheshimu mkuu mimi ni babu wa 65+ basi tu nimechelewa kujiunga JF!Dogo @PSL god alikuwa ananyonya kijijini kwao iramba huko