Huyu sigila Mligo si afukuzwe tu uanachama ? Au wadau mnasemaje?

Huyu sigila Mligo si afukuzwe tu uanachama ? Au wadau mnasemaje?

Huyo dada ana mdomo mchafu sana dhidi ya viongozi wenzake.

Me naona wanamwendekeza sana, arafu mgogoro uliokuwepo njombe seems yeye ndyo chanzo

Naona kwenye uchaguzi ulIopita, CCM ilifanikiwa sana katika kuwachomeka watu wake ndani ya CHADEMA.
 
Huyo dada ana mdomo mchafu sana dhidi ya viongozi wenzake.



Naona kwenye uchaguzi ulIopita, CCM ilifanikiwa sana katika kuwachomeka watu wake ndani ya CHADEMA.
Ndio demokrasi dikteta uchwara alikuwa na mdomo mchafu dhidi ya mwenyekiti Mbowe mbona hakufukuzwa!
 
Tuijenge CHADEMA iwe taasisi inayotanguliza HAKI iwe ndilo kimbiilio la wengi yule mlinzi aliyempiga huyu Dada achukuliwe hatua za kusheria.

Na huo mchango wa CCM huyo Dadda auchukue aule aitumie hiyo fedha ni fedha zilizoporwa kutoka katika kodi zetu sisi wananchi.
 
Huyo dada ana mdomo mchafu sana dhidi ya viongozi wenzake.



Naona kwenye uchaguzi ulIopita, CCM ilifanikiwa sana katika kuwachomeka watu wake ndani ya CHADEMA.
kama ni kweli,
lazma atakua kujifunza mdomo chafu ya kuropoka na makelele mingi kutoka kwa chairman wake wa chama Taifa 🐒
 
Huyu ni partner wa CPA Makalla maana ndiye mchangaji wa pesa za matibabu
 
Tulionya humu chadomo wanahubiri demokrasia huku wameficha mapanga. Kwao mtazamo tofauti ni uasi, usaliti, unatumia. Ndio maana mpaka dunia hii itaisha hamuwezi kupewa madaraka na watanzania.
 
Mbona akina Mdee wanawaita COVID 19 na kwa msimamo wa Chadema hata ikitokea mmoja wao akafa hatakiwi kuzikwa?
Kwani wakati wa kufukuzwa taratibu hazikufuatwa? kwanini wasizikwe na CCM wenzao? Umewahi kuwaona wakishiriki kwenye shughuli yoyote ya CDM?
 
Back
Top Bottom