Huyu sigila Mligo si afukuzwe tu uanachama ? Au wadau mnasemaje?

Huyu sigila Mligo si afukuzwe tu uanachama ? Au wadau mnasemaje?

Kwani wakati wa kufukuzwa taratibu hazikufuatwa? kwanini wasizikwe na CCM wenzao? Umewahi kuwaona wakishiriki kwenye shughuli yoyote ya CDM?
Ahahahahaha! Hata Bi. Sagrada ni CCM. Fukuzeni tu. HAWEZI kumchezea Makamu Mwenyekiti bwana! Huyu atakuwa amenunuliwa na CCM!
 
Back
Top Bottom