Wanaowatongoza ni wengi ni kwaajili yakukidhi haja ya matanio ya mwili kwa mujibu wa tafiti wa Wanaume wengi wanasema single mother ni watamu na ni mafundi haswa kwenye sector ya sex na pia ni rahisi kuwapata lakini sio kwa lengo la kuwaoaNa bado mnawatongoza hivi ni kwamba hamuonagi hao wasichana wabichi wasiozaa? Muhudhuriage vikao muache kulia lia humu.
Sasa kama sio kwa lengo la kuwaoa haya malalamiko ni ya nini? Watu wanajipinda huko wanatoa na mitaji yakiwakuta wanakuja kuwaandama singo mamas hapa ndio najiuliza kama lengo ni kula na kusepa vilio ni vya nini? hayo mengine si mnayatafuta muache malalamiko. Kama unajijua huwezan nao achaneni nao.Wanaowatongoza ni wengi ni kwaajili yakukidhi haja ya matanio ya mwili kwa mujibu wa tafiti wa Wanaume wengi wanasema single mother ni watamu na ni mafundi haswa kwenye sector ya sex na pia ni rahisi kuwapata lakini sio kwa lengo la kuwaoa
Kwa hoja ulizompa akikujibu nitagTabia za mtu zinahusiana nini na kujipa mimba mwenyewe?! Kinachozungumziwa hapa ni tabia au misimamo ya mwanamke ambaye amepata mtoto na mwanaume ambaye wameshindwa kuishi pamoja na kulea mtoto.
Hizi lawama zote hapa ni za kulaumu tabia za kuwa na maamuzi ya kukosa busara kwa kudharau mwanaume aliyejitoa kuwa na mwanamke mwenye mtoto tayari kisha kumrejea mwanaume ambaye ndie chanzo cha kuvuruga maisha yake.
Mbona kwenye mjadala mnapenda sana kuhamisha magoli as if ujumbe unakuwa unawachoma? Ina maana wewe husomi wanachoandika watu na msingi wa malalamiko upo eneo gani?!
Kwan wanawake kupewa ujauzito na kutelekezwa imeanza leo?! Si ni tokea miaka ya nyuma. Ila miaka hii wanawake wanaopata watoto na kutelekezwa wamekuwa na utomvu wa nidhamu na kutokuwa na discipline ya kujiheshimu na kumheshimisha mwanaume aliyeamua kujitoa kwaajiri yake na kubeba mizigo ya mwanaume ambaye ulimchagua wewe kwa utashi wako uzembe wako na kuamua kuazaa nae mtoto ambaye aligomea kumtunza pamoja na mama yake.
Sasa wewe unateteaje upumbavu kama huo na kugeuza geuza maneno hapa ionekane wanaume wanalaumu wanawake bila sababu yoyote
Mwanaume akishapewa uroda wa maana na mahaba moto moto akili yake inaama ndio wengine wanajikuta wanaoa wakishaingia kwenye ndoa mambo ya bongo movie za single mother sikiisha ndio ujikuta kafanya makosa na kujutia uwamuzi wakeSasa kama sio kwa lengo la kuwaoa haya malalamiko ni ya nini? Watu wanajipinda huko wanatoa na mitaji yakiwakuta wanakuja kuwaandama singo mamas hapa ndio najiuliza kama lengo ni kula na kusepa vilio ni vya nini? hayo mengine si mnayatafuta muache malalamiko. Kama unajijua huwezan nao achaneni nao.
😂 PoleniMwanaume akishapewa uroda wa maana na mahaba moto moto akili yake inaama ndio wengine wanajikuta wanaoa wakishaingia kwenye ndoa mambo ya bongo movie za single mother sikiisha ndio ujikuta kafanya makosa na kujutia uwamuzi wake
Kumbe mnafugana ujinga mkiona mnataka kulipuliwa mnateteana ujinga, walikokutana ndio nini yaan single mother anafanya ujinga wewe unatetea awe anabambika mimba mwanaume mwingine wakati katombwa na mwanaume mwingine inaingia akilini hio kweli?[emoji102][emoji102][emoji102] daa wewe embu usimshauri hivyo walikotafutana hakuwepo
Nimecheka sina mbavu 😂😂Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
tofauti ni zipi mkuu kama wewe unaweza kumrudia ex wako na kumtongoza tena kwanini yeye ashindwa ndg hapa nadhani ni msimamo na tabia ya mtuTofauti zipo
Mkuu, "single mothers are no go zone"
Kinachomfanya single mama kurudiana na mzazi mwenzie wala sio uwezo wake wa kufikiri/ haudumiwi na mpenzi wake mpya bali ni nguvu kutoka ulimwengu wa kiroho.
WEKA NAMBA YA ACCOUNT HAPA... TUKUPE POLE KWA KAZI KUBWA YA KUMUELEWESHA SINGO MAZA... NA USISHANGAE HAJAELEWA... HAWAELEWAGI HAWAAA...
Sasa nn nawee, give a woman second chance, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kingereza changu cha namtumbo, kiache hivyo hivyo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]single mother wasikie tu kwenye radio usitake nao mahusiano . kuna moja huyo nimemuapproch leo kanikubalia kesho yake ananiambia mtoto wako kakumiss [emoji16][emoji16][emoji848]
Asante mkuu upo vyema Sana when comes to discuss single mothers you have a lot of experience and I like the way you share with us
Kumbe mmeshaona single mother's ni watu wa hovyo, wasio na mapenzi ya kweli. Swali kwenu kwanini bado mnawatongoza? Mnawaoa? Kwa akili yangu, kitu kama ni hatari nakiepuka kabisa. Waacheni, mdate na wasiozaa halafu tuone, je hao ni Malaika na hamtalalamika tena? Tuko hapa...
Akikujibu na hii nitag mkuu, nadhani umemaliza kila kitu.
Na bado mnawatongoza hivi ni kwamba hamuonagi hao wasichana wabichi wasiozaa? Muhudhuriage vikao muache kulia lia humu.
Mkuu, hongera kwa kuandika vizuri. Well narated..
Umemaliza kila kitu mkuu...