Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Aisee, usizalishe kumkomoa mwanamke, utakuwa unamkomoa mtoto maana ataitwa mtoto wa nje ya ndoa, atakuwa affected sana psychologically. Usidhani wewe ulivyokomaa ndio mtoto naye kakomaa, jua hajakuwa. Tumia busara na hekima sio hisia!Naomba namimi nichangie kidogo huyo mwanamke anakupenda ndo maana amekuamba ruhusa angekuw mwengne asinge kuambia chochote na huyo ndo mbaya,msikilize mkeo ikiwezekana ongozana naye msibani mwanzo mwisho usisikilize maneno yawatu ila akizid kipimo nawew zaa nje na mwanamke mwengne afu uwe unajisahau unalala hko nje kwa hyo mwanamke ataingia wivu naheshima yako itarud nahapo ndo uanze kumcontrol yaan toka nitoke kisingizoo kumuona mtoto nakip wiki moja atanyoooka na kukuheshimu