Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Aisee, usizalishe kumkomoa mwanamke, utakuwa unamkomoa mtoto maana ataitwa mtoto wa nje ya ndoa, atakuwa affected sana psychologically. Usidhani wewe ulivyokomaa ndio mtoto naye kakomaa, jua hajakuwa. Tumia busara na hekima sio hisia!
 
Aende akakae kabisa na huo ukoo kama una umuhimu kiasi hicho. Ukishazinguana na mwanaume story ndio imekwisha hapo. Hata kama mna mtoto au watoto. Wanakutafuta wao kama akina nan?

Mimi tunagombana.
 
Si tulikubaliana kuoa Single Mama lazima ushuhudie Kaburi la Baba wa Mtoto au mumeenda kinyume na makubaliano yetu ya Kikao kilichopita?
Kwenye hichi kikao sikuwepo!! Ila haya maamuzi ya kikao nadhani yanguvu sana
 
Asante sana mkuu,hakika umetoa point kuntu sana,barikiwa sana,niseme kuwa mahusiano ya siku hizi yamekuwa na changamoto sana si kwa wanawake Wala waume,usaliti na ukatili umekithiri katika mahusiano ya siku hizi,binafsi pia ni muhanga was mahusiano,unaweza kumfanyia mtu kila kitu ikabaki TU uhai wako lkn akakuacha vilevile,ni Mungu TU atusaidie
 
Hua nasema
Hakuna kazi ngumu kwa mwanaume kama kujua mwanamke gani anampenda na anaweza kuishi naye
Ila hakuna kaz rahisi kama mwanamke
 
Na bado,siku ya harusi ya mtoto wao watakaa na mzazi mwenzake high table,wewe ukitoa macho back bench ukifakamia konyagi.

Endeleeni kuoa wake zetu tu wa zamani lakini mjue,uwa tunawasiliana na KUONANA.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Na bado,siku ya harusi ya mtoto wao watakaa na mzazi mwenzake high table,wewe ukitoa macho back bench ukifakamia konyagi.

Endeleeni kuoa wake zetu tu wa zamani lakini mjue,uwa tunawasiliana na KUONANA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
Yani wengine wake zetu wa zamani wanatuuma,still we don't have even a cover storyline for what happened mnajifanya mnawapenda wake zetu...

Mtalaka wangu anauma.
 
Kwahiyo unaenda kwa kiburi chako na kwa maamuzi yako hata kama Mumeo hataki uende sio?

Hapa unadhihirisha kuwa wewe ni aina ya Mwanamke ambaye humsikilizi Mumeo. Wewe au Mwanao ana ushirika gani na hiyo familia ambayo huna uhusiano tena na X wako?

Au mnaenda kumwacha mtoto kwa Bibi yake ili mkapashe kiporo?
 
Ndugu hapo sababu yako haina mashiko kumbuka wana mtoto yule ni babu wa mwanae na msiba ni kitu kingine labda ingekuwa harusi hapo sawa na kingine wangekuwa hawana mtoto hapo ningekuunga mkono lakini kwa hilo bado sikubaliani na wewe
Hiyo ya kwako ndio haina mashiko. Mume wako akikataa kuwa usiende kwanini wewe uamue kwenda?

Wewe huo msiba unakuhusu nini ilihali sio wa huko tena?
 
Hii topic ya single Mazas inachosha, kama hamtaki kuwaoa tumewasikia, fungeni mabakuli yenu wanaowaoa wawaoe

Kila nkisoma quote zakina dada humu nashangaa

Dada makirita sio kwamba hatutaki
Na hatuwasemi wao
Tunaisema tabia iliyopo kwao!

Point ni mahusiano yako na mzazi mwenza
Na sio mtoto
Mtoto ni baraka...
Hatukimbii majukumu
Tunachokikimbia ni kitu kingine kabisa


I wish atokee mdada mmja awabieni yeye
Pengine mtaelewa Hata kidogo

Rejea tatizo la mada
 
Kumbe mnafugana ujinga mkiona mnataka kulipuliwa mnateteana ujinga, walikokutana ndio nini yaan single mother anafanya ujinga wewe unatetea awe anabambika mimba mwanaume mwingine wakati katombwa na mwanaume mwingine inaingia akilini hio kweli?
Usiwe mjinga kiasi hicho, unajua yatakayomkuta? Je yeye akimwambia kisha akakamatwa na wakasameheana na yeye mtoa taarifa akajulikana unazani itakuwaje, wewe unajua kinachofanya awasiliane na huyo mzazi mwenzie? Ndoa zenyewe mashaka tupu watu wanaishi tu kwakuogopa macho ya watu huko ndani ni shida tupu awaache wakamatane wenyewe kua basi hata kidogo acha utoto, halafu mie sijaandika tusi lolote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…