Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Hapo vip!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.
Mwanamke alishamdharau mwanaume tangu siku ile alipompeleka chaka la kula tunda. wakiona unahudumia hudhan hatuna akili vizuri. had wao husema "siwez kumpa mpenz wang hela hata niwe milionea". hadi sasa ex wake anafiwa et anaenda msiban et ukuwe mwelewa!. eti ubinadam! ukiliacha linalia una gubu! niwataarif akina dada kuwa WIVU WA MWANAUME NI UCHUKUE WENU UZIDISHE MARA 777! ndo maana hakuna ndoa rasmi ya mke kwa waume wengi had leo. Na mkumbuke thaman yenu imejirundika katika umalkia wa kulindwa dhid ya kila kitu ikibid dhid yako mwenyewe! tukipambana kuwapa hadh na heshima mliopewa bure na muumba mnaisigina!
 
True kabisaaaa Kama jamaa kaamua kulea mpaka mtoto wake kufikia huyo dada hana nidhamu kabisa.hakuna kitu kibaya Kama watu walio achana kwa vitu vidogo TU na walikuwa na mtoto wakikutana hao lazima kipigwe TU [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] zikikumbushwa zile moments na ndio zinazo haribu mambo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio maana unakuta mwanamke anae jitambua humpeleka mtoto kwao au kwa huyo mwanaume Alie zaa nae ili kuondoa usumbufu usio na tija

NB: Hakuna kitu mwanamke anacho kipenda Kama ndoa na kuitwa mke wa fulani na ndio maana single mother wote walio na watoto Zaid ya mmoja wako stressed Sana na kuish nao Ni ngumu Sana wanaona Kama Wana nyanyasika

Kuishi na single mother inahtaji moyo , uvumilivu,chochote utakacho kifanya anaona unamuonea,hawapendi kukosolewa kabisa
For sure
 
Ukiamua kuwa na single mother hayo unapaswa uyazoee wale wameunganishwa na mtto ambayo ni damu yao wote wawili unatarajia wataachanaje! Kwenda kumzika mkwe ni kawaida maana ni babu wa mtto wake[emoji4]
 
Hapo vip!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.

Kwa suala moja tu la kwenda msibani huwezi kujudge ama kudraw conclusion juu yake kwamba hajamove one, naona msiba ni suala la kibinadam kabisa ambalo linapaswa kuwekwa mbele na kuweka tofauti pembeni, ingawaje TAARIFA kwa kila jambo na hatua ni muhimu, of which hata kabla ya kwenda huko msibani alipaswa akushirikishe na ikibidi aombe ridhaa yako.

Ila ushauri wa mwisho naamin kuna mazuri mengi zaidi kwa huyo mwanamke zaidi ya hili moja la kwenda msibani(labda kama kuna mabaya mengine hujayataja). Hivo focus kwenye mazuri yake haya mapungufu madogo madogo mnarekebishana mdogo mdogo. Nawasilisha
 
Hapo vip!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.


Sema hapo kwenye simu na kwenda afu unapewa taarifa na ameshafika msibani mimi nsingemuelewa, taarifa ilitakiwa ije kwanza.
 
Wadada tunakosea hapo tu ukisha achana na mtu yanin uende msiban
 
Single mother nilimpendaga sana yule. Alipigwa mimba akiwa form 2 na jamaa akamkimbia kuogopa kesi. Kaka zake yule binti wakahangaika sana mpaka akajifungua. Nikamkuta amepauka anauza karanga road, huku akiwa na katoto ka miaka 6 kamekonda sana. Binti alinivutia na alikua anaonekana yuko matured sasa kiakili.

Nikajenga nae mahusiano. Tukawa wapenzi. Kutwa kucha hakukosa kutoa lawama kwa mzazi mwenzake kwa kuwakimbia yeye na mwanae. Kwakweli niliguswa na upendo wake na ujuzi wake kitandani. Nikazama mazima. Nikamfungulia biashara kubwa na kuwekeza mtaji wa mil6.

Kilichofuata baada ya kuona ana uhakika wa kupiga pesa na kusimamia biashara kubwa akamtafuta mzazi mwenzake wakaendeleza walipoishia. Jamaa wa kitaa wakanisanua, wakati nipo job kumbe alimuingiza yule jamaa yake chumbani kwangu. Nikaishia kuwafumania na kumfukuza ndani kwangu.

Ile biashara nilimuachia. Matokeo yake bwana ake akaifilisi. Sasa hivi anaishia kunisumbua tu kwenye simu anataka turudiane. Kala block! Sitaki ushauri wowote kuhusu kuoa hawa single mother.
 
Single mother nilimpendaga sana yule. Alipigwa mimba akiwa form 2 na jamaa akamkimbia kuogopa kesi. Kaka zake yule binti wakahangaika sana mpaka akajifungua. Nikamkuta amepauka anauza karanga road, huku akiwa na katoto ka miaka 6 gle mother.
Pole sanaa mkuu, ila always give a woman a second chance wana chelewa kujifunza ila akijifunza anakua mke bora wa mfano.
 
Hata sitaki kuwasikia kabisa single mama, yupo mmoja nilimpenda na nikaamini huyo ndio mke wangu, nilimjali kwa kila hali na nashukuru kwa hilo hata yeye mwenyewe kwa mdomo wake alikiri tukiwa kwenye mahusiano nakumbuka aliwahi kuniambia, "hakika Atlas wewe umejua kuirudisha furaha yangu iliyokua imepotea na kuanza kukataa tamaa ya maisha" ila kilichokuja kutokea baada ya hapo ni history,
 
Hata sitaki kuwasikia kabisa single mama,yupo mmoja nilimpenda na nikaamini huyo ndio mke wangu,nilimjali kwa kila hali na nashukuru kwa hilo hata yeye mwenyewe kwa mdomo wake alikiri tukiwa kwenye mahusiano nakumbuka aliwahi kuniambia, "hakika Atlas wewe umejua kuirudisha furaha yangu iliyokua imepotea na kuanza kukataa tamaa ya maisha",ila kilichokuja kutokea baada ya hapo ni history,
Kumbe ma single mamaz wana enjoy na hawatuambii 😱 Chakorii Depal Joannah Carleen
 
Back
Top Bottom