Huyu single mother nasitisha mara moja kumuoa

Kumbe mmeshaona single mother's ni watu wa hovyo, wasio na mapenzi ya kweli. Swali kwenu kwanini bado mnawatongoza? Mnawaoa? Kwa akili yangu, kitu kama ni hatari nakiepuka kabisa. Waacheni, mdate na wasiozaa halafu tuone, je hao ni Malaika na hamtalalamika tena? Tuko hapa...
 
Kuna baadhi ya wanaume ni watu wa ajabu sana, hivi anayempa mimba mwanamke ni nani? Si mwanaume, baada ya kumzalisha, akamkimbia na kumuacha kuwa single mother si ni huyo huyo mwanaume?
Akishaona mtoto kakua anamrudia si huyohuyo mwanaume? Kwanini lawama zote, zinaenda kwa mwanamke?

Mwanamke ambaye amezaa ama ambaye hajazaa, akifanya makosa kwenye mauhusiano, hiyo ni tabia yake. Kama huwa wanarudi kwa waliozaa nao, lazima mwanaume ahusike. So mseme wanaume na wanawake wenye hizo tabia. Msisakame wanawake tu.
Uamuzi ni wa Mwanamke, hivyo lazima alaumiwe yeye
 
Hapa analaumiwa mwanamke kwa sababu mtu kamkimbia kamwacha, kapata mtu wa kumshika mkono halafu yule aliyemkimbia anarudi kwake badala akatae, anaingia mazima tena. Sasa hapo wa kulaumiwa ni nani? Ni mwanamke maana hatumii akili angekataa tu
Hiyo ndio sababu kuu ya Wanaume kutopenda kuoa single mothers
 
Single mother nilimpendaga sana yule. Alipigwa mimba akiwa form 2 na jamaa akamkimbia kuogopa kesi. Kaka zake yule binti wakahangaika sana mpaka akajifungua. Nikamkuta amepauka anauza karanga road, huku akiwa na katoto ka miaka 6 kamekonda sana. Binti alinivutia na alikua anaonekana yuko matured sasa kiakili.

Nikajenga nae mahusiano. Tukawa wapenzi. Kutwa kucha hakukosa kutoa lawama kwa mzazi mwenzake kwa kuwakimbia yeye na mwanae. Kwakweli niliguswa na upendo wake na ujuzi wake kitandani. Nikazama mazima. Nikamfungulia biashara kubwa na kuwekeza mtaji wa mil6.

Kilichofuata baada ya kuona ana uhakika wa kupiga pesa na kusimamia biashara kubwa akamtafuta mzazi mwenzake wakaendeleza walipoishia. Jamaa wa kitaa wakanisanua, wakati nipo job kumbe alimuingiza yule jamaa yake chumbani kwangu. Nikaishia kuwafumania na kumfukuza ndani kwangu.

Ile biashara nilimuachia. Matokeo yake bwana ake akaifilisi. Sasa hivi anaishia kunisumbua tu kwenye simu anataka turudiane. Kala block! Sitaki ushauri wowote kuhusu kuoa hawa single mother.
Hii mada ni pana inaegemea pande zote mbili though am not a single mother.
 
Kumbe mmeshaona single mother's ni watu wa hovyo, wasio na mapenzi ya kweli. Swali kwenu kwanini bado mnawatongoza? Mnawaoa? Kwa akili yangu, kitu kama ni hatari nakiepuka kabisa. Waacheni, mdate na wasiozaa halafu tuone, je hao ni Malaika na hamtalalamika tena? Tuko hapa...
Single mother ni wa kumaliza tu matatizo/haja/matamanio yako ya kimwili sio wa kuoa, labda awe amebeba certificate ya kifo cha baba mtoto wake na kukuonyesha kaburi lake lilipo hapo OA ila km hujaonyeshwa usioe sawa Bantu lady unataka kuoa single mother wewe au wewe ndio single mother?
 
Best yangu ni singo maza kaolewa alikuwa hana mawasiliano na huyo ex baba mtoto now katafuta namba kazipata mawasiliano moto[emoji91] anakula pesa za matumizi na kamwambia mwanae huyo ni anko,

na mtoto alimuacha na miezi sita kalelewa na baba wa sasa,

sasa anapanga safari akaonane nae,amesema anamuaga mumewe anaenda kumsalimia bibi yake na anajua hawezi mkatalia,

namtizamaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
Ndio maana wengine hata kabla ya kuoa tuliapa kutoa kuoa single mazas....[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...yaani ajilete hapaa...ni no,

Just for only use and damp.
 
Single mother ni wa kumaliza tu matatizo yako yako ya kimwili sio wa kuoa, labda awe amebeba certificate ya kifo cha baba mtoto wake na kukuonyesha kaburi lake lilipo hapo OA ila km hujaonyeshwa usioe sawa Bantu lady unataka kuoa single mother wewe au wewe ndio single mother?
Sio kweli... mbona single mothers wengi tu wameolewa na baba watoto zao wapo cha muhimu ni ukutane na anaejitambua
 
Yaani niwachache sana wanaojitambua....yaani ni lazima tu watarudi kwa walio zaa nao kwa kuchepuka....ndio maana wanaume ni ngumu kuwaoa single mazas....wanabaki kutumika tu kwa asilimia kubwa..basiii...
 
Dada ntakujipu line yako moja baada ya nyingine

Hivi unajua kwanin tunawakataa singl m?
Sio sababu amezaa mtoto!
Hakuna mwanaume kamili hapa duniani anaekimbia majukumu
Ukiona mwanaume anakimbia majukumu huyo ni mwenzenu!!
Mwanaume ni kupambana na yaliyo mbele yake
Hi ndio nature harisi ya mwanaume!

Hivi unadhani sisi tunachokwepa ni wew kuzalishwa? Kama unadhani ndio hivyo basi ushakosea
Sisi tunachokimbia ni kukuowa wewe na kisha kuendeleza na mzazi mwenzio..
Ndio maana popote ukiomba ushaul wa kuowa s mother swali utakaloulizwa na ndugu/jamaa na rafiki ni ...Yupo wapi baba wa mtoto?
Hawaulizi jinsia,idadi,elimu,miaka au chochote kuhusu mtoto au mama
Wanauliza uwepo wa mzazi mwenza!!
Kwanini? Kwasababu yakuhofia ukaribu wao baada ya wew kuowa!

Asilia ya mwanaume ni kutamani!
Wewe ulishazakishwa...akakuacha hi inamaana hakuona thamani yako
Me nmekuchukua nmekuowa nmekutunza kama mke wangu mimi
Yeye anakuja tena unamkubalia hiv hili ni tatizo la mwanaume anaekufata au lakwako?
Watakuja wangapi? Kwanini ukubali wakati tayari unajua wewe n mke wa mtu? Kwanini hakuiona thamani yako wakati ule?
Unadhan baada ya kulala na wew tena atakuowa kama anavyokudanganya?
Hilo ni tatizo lako na sio wanaume.

Single mother akimludia kufanya mapenzi na mzazi mwenzie hilo sio tatizo la mwanaume yoyote kati ya hawa wawili [mention]Mshana Jr [/mention] (unaweza ni rekebisha hapa)
Ni lako na uchafu wako
Na ujinga wako
Na upumbavu wako
Kwasababu hawa wote wawili unawajua vizuri
Mtu akiona thamani yako inamaana amekuheshimu pakubwa
Ameweka imani na wewe
Amekupenda
Kiasi ameamua kupigana na fikra mbovu za jamii (ambazo kimsingi umezitengeneza mwenyewe)ili tu wewe ufurahi
Ila bado unarud huko huko
Hapa mwanaume anakosa gani?
Akikujibu na hii nitag mkuu, nadhani umemaliza kila kitu.
 
Na bado mnawatongoza hivi ni kwamba hamuonagi hao wasichana wabichi wasiozaa? Muhudhuriage vikao muache kulia lia humu.
 
Hapo vip!!

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Mimi ni mtu ambaye nilikuwa siamini katika kumuoa single mother ila baadaye nikajikuta nimekutana na single mother nikaona nitengue msimamo wangu ila kwa hili msimamo wangu narudi kuiheshimu.

Mnamo mwaka huu mwezi wa January, nimekutana na mdada mmoja ambaye tulimaliza naye chuo, na kwa bahati nzuri nilikuwa nasoma naye course moja na pia tulikuwa group moja kwenye discussion. Hivyo na mfahamu kwa kiasi alikuwa ni binti mwenye msimamo kwenye mahusiano.

Kipindi hicho sikuweza kumtongoza kwasababu nilikuwa nipo kwenye stress kubwa wakati nasoma university.

Ila ilikuwa namkubali kubali kiasi, ila wakati tukiwa mwaka wa tatu akakutana na jamaa alikuwa ni graduate na anakazi. Jamaa akafanikiwa kumuweka kwenye himaya yake. Kwangu haikuniumiza sana kwa kwasababu sikuwahi kumtongoza akanitoe nje.

Siku zikaenda jamaa akaenda kujitambulisha kwa binti, ikapangwa mpaka siku ya harusi na vitu kwa hivyo.

Jamaa akawa anahairisha harusi mara kwa mara ila kafanikiwa kuzaa naye mtoto, ila baadaye wakaingia kwenye misuguano wakavunja uhusiano na sababu mwanamke anasema jamaa alikuwa na mwanamke mwingine na mpaka sasa eti jamaa anaishi naye na amezaa naye mtoto, anyway mwanamke akamchukua yule mtoto aliyezaa na jamaa akampeleka kwa wazazi wake.

Mpaka nakutanane naye ameachana na jamaa na kwa takribani miaka mitatu. Anyway baada ya kunieleza hayo kwa uchungu nikaanza naye mahusiano baadaye nikaona kwasababu ni mwanamke ambaye namfahamu kitabia tokea nikiwa chuo acha nifumbe macho nifanye haraku za kuweka ndani kwa heshima.

Anyway baada ya kuanza naye mahusiano akapata ujauzito nikaona ili nisimkweze na aone nipo sereous naye ngoja nikamtambulishe, nikampeleka home kwa utambulisho.

Nikawa nimebakiza kibarua ya kwenda kwao ambaye mpaka sasa sijaenda bado.

Sasa leo akanipigia simu akaniambia amepata msiba, nikamuuliza nani akasema baba mkwe wake wa zamani na waenda na dada yake. Anyway sikutaka kumcrash.

Ila nimeona nipate muda wakutafsiri hiyo picture na kujiuliza maswali mengi.

1. Binafsi najiuliza kama ametoka misri na ameamua kwenda Caana kwanini anarudi nyuma

2. Na kama wameachana na hawakufunga ndoa na ameshatambulishwa katika familia nyingine anaenda kule kama nani...?na kwasababu gani hasa...?

Binafsi nikaona huyu anacheza na akili yangu kwasababu kama yupo sereous akesahau kule pa zamani na kusonga mbele na njia mpya...

Mimi ni mtu ni kazi yangu na biashara zangu, sasa naona kwasababu hana kazi labda anaona apate mahali ambapo atapunguza makali fulani ya stress za mahusiono na maisha may be.

Binafsi naona niwe naye karibu amzee yule kiumbe then niangalie ustarabu mwingine ila asilani sintoweza kumoa tena...m
Unakaribishwa kwa ushauri
tufanye umeachana nae alafu na ulifanikiwa kuzaa nae mtoo na wewe ukafanikiwa kuendelea na maisha yako ukapata mke ukaja oa ikatokea umesikia mwanao akakwambia baba nimefiwa na bibi mzaa mama je wewe hutoenda kule kumzika huyo bibi
 
Yaaani bongo usiposema tu university huonekani kama ulisoma .....kwani ukisema tu ulisoma chuo ndio utaonekana huwajawahi kusoma?.....badilika
 
Msibani wanamjua kama nani?

Tajiri Tanzanite kabla hujaamua mpe nafasi, muulize taarifa za msiba umepataje? Unaenda wewe kama nani? Huo msiba unakuhusuje? Mwisho kabisa kataa katu kata asiende, kama ataenda kwa kulazimisha basi iwe ndio mwisho wako na yeye full stop.

Mwanaume kuwa na maamuzi magumu lakini yenye demokrasia.
kuhusu kupata taarifa anaweza kuwa amepewa na mzazi mwenzie kwa kumwambia kuwa mwanangu amefiwa na babu yake na sidhani kama kuna kosa hapo hata wewe leo hii ukizaa na mwanamke mkaachana ni lazima utampigia simu kutaka kujua maendeleo ya mwanao labda kama hujitambui
 
Best yangu ni singo maza kaolewa alikuwa hana mawasiliano na huyo ex baba mtoto now katafuta namba kazipata mawasiliano moto[emoji91] anakula pesa za matumizi na kamwambia mwanae huyo ni anko,

na mtoto alimuacha na miezi sita kalelewa na baba wa sasa,

sasa anapanga safari akaonane nae,amesema anamuaga mumewe anaenda kumsalimia bibi yake na anajua hawezi mkatalia,

namtizamaaaa[emoji849][emoji849][emoji849]
Some creatures are just stupid, anyway wanaume/vijana wameshaonywa sana...at your own risk!
 
Tumechoka kuwashauri nyie wasenge, tumeshasema single maza anayepaswa kuolewa ni yule aliyefiwa tu na mumewe hao waliobaki ni wa kupiga miti na kusonga mbele.
Kama mwanaume mwenzio kamshindwa wewe ni nani umuweze?
vipi kuhusu single father's na wenyewe pia wasioe maana hawana tofauti na hao wakina Dada waliozalishwa wakaachwa
 
Back
Top Bottom