TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,690
- 2,433
Ukifukuzwa kazi binamu sitaki uje unisumbue kwa kukopa kopa
Nitamlea miye wala usihofu shosti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukifukuzwa kazi binamu sitaki uje unisumbue kwa kukopa kopa
Nitamlea miye wala usihofu shosti
Kama hivyo sawa haina neno my dia kumbe ndo maana ana jeuri yakufunga office
We warumi hebu ziache zote bhana....we si unajua nimechoka kupigwa jua..
kamata fursa twenzetu!hahahahaaaaaaaaaaaaa
Ukifukuzwa kazi binamu sitaki uje unisumbue kwa kukopa kopa
Ha ha binamu nimekuelewa
Yaan huyu jamaa ukikutwa unaendesha gari lake lolote bas ujue apo usalama hakuna sijui kwa nini
Nadhani mashost wamegundua mbinu mpya ya kutumia id za kike ili kupata wasela
wakitosa wao watu wanaponda sana, ndo kinachoendelea hapa jf...
Sijui ndomo alimpa v8 kwa miadi gani
Hahahaaaa...nimependa huu udaku aisee.. ngoja nikae mkao wa kula Dinazarde Kim nana Gossipcopwarumi snipa lusungo Heaven on Earth Evelyn Salt na wengine njooni muone ya mjini
Huijui Siri?Tatizo nyie sijui mna sumaku gani !
Mtu akitumia jina la kike fb/ig e.t.c atapata requests na followers kibao pamoja na ma PM kama unayoyapata wewe JF !
Shost ndo nafika, mbona makubwaaaaa!
Dear huyu Gossipcopwarumi hataki maendeleo yangu. Nimemwomba anipe namba nikamate fursa ananibania. Shosti hebu niombee ww Kama anaogopa hapa aniPM
binamu usimbanie jamani,mpe contacts shost,si unajua rizki fil manyiati.
Bora umwambie huyo binamu maana ananizingua tu hapa