Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

Huyu sista du mbona anapenda 'kiki' sana

Kuna watu wangekua mungu tungejuta humu dunian wanajudge watu uwiiiii.... ukivaa hv unajina Ukisema hili unahili heey are u perfect.
 
Nadhani mashost wamegundua mbinu mpya ya kutumia id za kike ili kupata wasela
wakitosa wao watu wanaponda sana, ndo kinachoendelea hapa jf...


Tatizo nyie sijui mna sumaku gani !
Mtu akitumia jina la kike fb/ig e.t.c atapata requests na followers kibao pamoja na ma PM kama unayoyapata wewe JF !
 
Sijui ndomo alimpa v8 kwa miadi gani

Nadhani miadi yakukutana usiku kupiga story !

IMG-20140102-WA0008.jpg
 
mtu umetukwanwa cjui ni na ni na ww kwa kutafta kik unapanic hvyo mbna ukiambiwa ukwel kua ulitaka kukfukuza kwny nyumba ukauhurumiwa nakupewa notic na baba mpangaj wanyumba..uwondoke..zungumzia na hilo bas kama nila uwongo nalo andka...kik azitaftwi kihvyo wkt watu wanakujua inside outside dadangu... "just no ur position"
 
Dear huyu Gossipcopwarumi hataki maendeleo yangu. Nimemwomba anipe namba nikamate fursa ananibania. Shosti hebu niombee ww Kama anaogopa hapa aniPM

binamu usimbanie jamani,mpe contacts shost,si unajua rizki fil manyiati.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom