Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,630
- 4,253
Mimi nafikiri ni photoshop,kama ni kweli Sonko kafanya hivyo huo ni uhuni uliopitiza ,kugombana sio manake mutoleane mambo yenyu ya siri,pamoja na ujinga wa Rachel lakini kama mwanadamu anastahili heshima,mambo ya chumbani na yabaki ya chumbani,pole mamii wa Nairooooo kikulacho ki nguoni mwako,badili tabia na mrudie Mungu,ni Mungu pekee asiyeweza kukudharirishaKenya sasa inatawaliwa na wahuni. Hii sio freshi hata iweje..afu ni Senator mzima katoa hizi
picha kwa sababu ya visa vya wenyewe. Yaani nimekosa usemi.
Gaadeem!!!!
Hii haihusiki hapaUWIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII AL-SHABAAB WARUDI KUFUNDISHA WATU ADABU! NAONA HAMJANYOOKA! :frusty:
tunaomba picha kamili mwenye nazo kuna page ya mambo ya Kikubwa humu ndaniKenya sasa inatawaliwa na wahuni. Hii sio freshi hata iweje..afu ni Senator mzima katoa hizi
picha kwa sababu ya visa vya wenyewe. Yaani nimekosa usemi.
Gaadeem!!!!
Mimi nafikiri ni photoshop,kama ni kweli Sonko kafanya hivyo huo ni uhuni uliopitiza ,kugombana sio manake mutoleane mambo yenyu ya siri,pamoja na ujinga wa Rachel lakini kama mwanadamu anastahili heshima,mambo ya chumbani na yabaki ya chumbani,pole mamii wa Nairooooo kikulacho ki nguoni mwako,badili tabia na mrudie Mungu,ni Mungu pekee asiyeweza kukudharirisha
Kenya sasa inatawaliwa na wahuni. Hii sio freshi hata iweje..afu ni Senator mzima katoa hizi
picha kwa sababu ya visa vya wenyewe. Yaani nimekosa usemi.
Gaadeem!!!!
Hii ni michezo michafu tu ya kisiasa bana... Sonko mwenyewe jana alipohojiwa, alihusisha hizo picha na photoshop.Mtu ana bibi na watoto sidhani anaweza kufanya kitendo cha kujianika hivyo, siwatetei lakini naamini ni photoshop.
Hii imekuwa photoshoped angalia uwiano wa mabega na mikono.