PakaJimmy
JF-Expert Member
- Apr 29, 2009
- 16,199
- 8,761
Ukirudi kwenye Privacy ya jambo zima la mapenzi, kweli kabisa ni mbaya sn kuweka majamvini picha za aina hiyo kwa watu wanaojulikana, ukiacha wale ambao hiyo ni biashara yao.
Huyu mama amepewa wakati mgumu sn kwny familia yake. Mume wake anaweza kumuelewa, je watoto wake wakiona hizo picha atawaeleza nini?
Siasa hazitakiwi kufikia kwenye corridors za huku! ...hii ni character assassination mbaya sana...hata kama kweli walifanza hiyo maneno!
Bora aliyefanya hii maneno angedai hata ransom money.