Huyu Sonko ni mhuni wanajamvi...katoa picha zake na Shebesh wakiwa faragha!

Huyu Sonko ni mhuni wanajamvi...katoa picha zake na Shebesh wakiwa faragha!

Ukirudi kwenye Privacy ya jambo zima la mapenzi, kweli kabisa ni mbaya sn kuweka majamvini picha za aina hiyo kwa watu wanaojulikana, ukiacha wale ambao hiyo ni biashara yao.

Huyu mama amepewa wakati mgumu sn kwny familia yake. Mume wake anaweza kumuelewa, je watoto wake wakiona hizo picha atawaeleza nini?

Siasa hazitakiwi kufikia kwenye corridors za huku! ...hii ni character assassination mbaya sana...hata kama kweli walifanza hiyo maneno!
Bora aliyefanya hii maneno angedai hata ransom money.
 
Hivi Rachel si ni mke wa mtu..!?

Ehee..ni mke wa mtu huyu mama. Picha hii hapa na bwanake...

frank-shebesh.jpg
 
au sonko alityaka tena bibie akamnyima?

Inasemekana huyu Mama alianza kumpaka Sonko choo kua..'Jogoo haliwiki"..ndo hasira yote zilpoanza
na Sonko kaona aje na hizi picha...Wote uchafu tu!

Kinachoniudhi ni kua huyu mama ni mke wa mtu lakini anatamba kana kwamba ni changu.
Afu mume hana say kabisa...kafunikwa!
 
Duh Manzi ya Nairobi sijui atajisikianje lazima ajilaume mwenyewe kwa kukubali kutembea na huyu muhuza sura.

Manzi kaingia mitini na kufunga ofisi zote. Tusubiri tuone aki-resurface itakuaje. Meanwhile kabila la mume wake
limekuja juu...

========================================================================================

Luhya elders are allegedly angry at the Shebesh couple. The Luhya Council of Elders have summoned Frank Shebesh, the husband of Nairobi women’s representative Rachel.

Frank was ordered to appear before the elders this weekend to answer charges of failing to manage his household.

Frank has three children with Rachel Shebesh.

The elders, our source said, are not happy with the free hand Frank has given his wife and they now accuse him of embarrassing “the entire male Luhya population”.

Earlier this month, Frank said he is ready to forgive Nairobi Governor Evans Kidero for allegedly slapping his wife on condition that he apologises.

“If he is man enough to apologise to me personally, then I will accept the apology. We are civilised and we believe in the rule of the law. We will exhaust all our options,” he said.

Frank, who said he has never beaten his wife, said Kidero’s move to report the matter to the police was “an act of impunity and a deceptive ploy meant to hoodwink law enforcement agencies.”

Frank said when he received the news on his mobile phone, he felt he should have been there to defend his wife.

“My first thoughts were that I wish I was there. I felt that it was very unfortunate that I was not there… to protect her defenceless soul from that barbaric act,” he said.

In an earlier interview with the The Standard, Rachel said: “My husband has given me all the support in my political career to the extent of campaigning with me during the last elections.”

She rubbished rumours that their marriage is on the rocks.

“Those are rumours that come with politics and women should get used to them. People will say anything to discredit a woman aspiring for leadership,” she said.

We could not reach Frank for comment despite many attempts to contact him on phone.

-
The Standard
 
Huyo rachel ndo nani?

RACHEL SHEBESH ni mbunge wa jimbo la Nairobi na huyu sonko yeye ni Seneter wa Nairobi
hii mbinu anayo itumia kumumaliza mwenzake kisiasa sio nzuri huu ni uzallishaji wa kiasi kikubwa ukizingatia kua huyu shebesh ni mke wa mtu na sonko bado ni msela tu hajaoa
huyu jamaa alilelewa na bibi yake
hii ndio hasara ya malezi ya bibi
huyu jamaa ni bonge la mhuni sijui wakenya walimupendea nini
 
RACHEL SHEBESH ni
mbunge wa jimbo la Nairobi na huyu sonko yeye ni Seneter wa Nairobi
hii mbinu anayo itumia kumumaliza mwenzake kisiasa sio nzuri huu ni
uzallishaji wa kiasi kikubwa ukizingatia kua huyu shebesh ni mke wa mtu
na sonko bado ni msela tu hajaoa
huyu jamaa alilelewa na bibi yake
hii ndio hasara ya malezi ya bibi
huyu jamaa ni bonge la mhuni sijui wakenya walimupendea nini

sorry naomba ni sahihishe shebesh sio mbunge ni mwakishi wa wanawake jimbo la Nairobi (Nairobi women representative)
 
Withdraw your comment young man.
You are still living
im not Young man My friend,and When we discuss serious issue the truth has to be told.if this world Will be filled with That kind of woman.
i confess i Will never cheat to My girl:faint2:
 
Rachel Shebesh alifanya sana vurugu wakati wa kampeni,mwezi uliopita mbele ya waandishi alipigwa kofi na gavana wa Nairobi,ana ugomvi na seneta wa Nairobi Sonko. Kajiondoa nafasi 2 za uongozi na kubaki na uwakilishi wa wanawake.

Article 75(1) a na c zinaweza kuwaondoa uongozini
 
Bora huyu kutoa picha mitandaoni kuliko malaya, wezi na wanafiki tulionao hapa kwetu!
 
Bora huyu kutoa picha mitandaoni kuliko malaya, wezi, wanafiki na wauaji tulionao hapa kwetu!
 
Back
Top Bottom