Huyu Sonko ni mhuni wanajamvi...katoa picha zake na Shebesh wakiwa faragha!

Huyu Sonko ni mhuni wanajamvi...katoa picha zake na Shebesh wakiwa faragha!

sonko_shebesh_1.jpg
 
sasa Rachel Shebesh kasemaje?
no statement yet?
 
sasa Rachel Shebesh kasemaje?
no statement yet?
Atasema nini na ishu ni kweli? Kwa sasa she needs to fix her domestic affairs maana kumbuka ana mume ambae nae kaja juu.
 
Atasema nini na ishu ni kweli? Kwa sasa she needs to fix her domestic affairs maana kumbuka Ana mime ambae nae kaja juu.

kazi ipo.....naona huyu kinachompa ujeuri ni undugu na Uhuru ...
si nilisikia ni cousins?
 
sorry naomba ni sahihishe shebesh sio mbunge ni mwakishi wa wanawake jimbo la Nairobi (Nairobi women representative)

Kwani representatives siyo wabunge? Kama siyo, wabunge wa Kenya ni wepi sasa? Ni senators?

Kwenye bicameral legislature hakuna wabunge? Au ni matter of semantics tu?
 
Atasema nini na ishu ni kweli? Kwa sasa she needs to fix her domestic affairs maana kumbuka ana mume ambae nae kaja juu.

If I were her strategist I'd advise her to clam up, at least for now, to size up the situation, first.
 
Kwani representatives siyo wabunge? Kama siyo, wabunge wa Kenya ni wepi sasa? Ni senators?

Kwenye bicameral legislature hakuna wabunge? Au ni matter of semantics tu?

Kaka maswala ya siasa za Kenya ni tofauti sana na hapa tz hawa jamaa wana wabunge, senators,Women representative ,governors,counsellors n.k
 
Kaka maswala ya siasa za Kenya ni tofauti sana na hapa tz hawa jamaa wana wabunge, senators,Women representative ,governors,counsellors n.k

Naomba nitajie jina la bunge/wabunge wa Kenya kwa Kiingereza, tafadhali.
 
Back
Top Bottom