Huyu Steve Nyerere ni nani...?

Mleta mada steve na erick ni mbingu na ardhi lkn pia erick na trevor ni mbingu na ardhi....steve na Trevor ni sawa na umbali uliopo kati ya jua na Pluto
Mkuu samahani sana mi ukiacha zile stand up comedy za ze comedy kipindi bado wapo EATV sijawahi angalia video clip za stand up comedy zozote za bongo.


Naomba nikuulize kitu Huyo Steav nyerere amewahi kualikwa Kenya ? Au nchi yeyote ukanda wa Afrika mashariki
 
Hajawahi...na hata hizi za ndani audience yake ni bongo movie wenzie
 
Eric Omondi ni noma kwenye standup comedy bongo hakuna wa kumfikia kwa east africa anaweza toa droo na Anne Kansiime wa Ug.
 

Usilinganishe mavi na cake mtambuzi

Huyo wa bongo ni mavi tena yaliyooza
 
All in all, Kenyan comedians are by far beating our Tanzania comedians.
 
Khaa huyu kada wa lumumba kaanza lini comediani.....

Kuigiza hawez ....comedy ndo ataweza

Wakaae na lemutuz wauze umbea tuu
 
Erik Omondi na Trevor noah wanachekesha watu. Huyo mwengine anacheka mwenyewe tu
 
Hata kumuigiza Mwl JKN hajui bhana! Huwa nashangaa huyu jamaa kupewa sifa kwamba ana kipaji cha kumuigiza Mwalimu. Labda kama watu wanavyosema kwamba alikuwa na shughuli nyingine ndani ya sanaa lakini kuigiza NOOO!
 
Nazi na Jiwe.Steve bado sanaa
 
Jamani tujadili vitu vya msingi
Yaani unafungua uzi wa kumwongelea huyu nanilii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…