iamwangdamin
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 864
- 1,798
Huyo Steve nilipoona yuko karibu na lemutuz nikajua tu maisha yake naye ni ya udananda
![]()
Hv huyo wa pembeni yake hilo shati kubwa kama turubai asee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Steve nilipoona yuko karibu na lemutuz nikajua tu maisha yake naye ni ya udananda
![]()
Mleta mada steve na erick ni mbingu na ardhi lkn pia erick na trevor ni mbingu na ardhi....steve na Trevor ni sawa na umbali uliopo kati ya jua na Pluto
Ni muda mrefu nimekuwa nikimsikia akijinasibu kama mchekeshaji maarufu hapa nchini, na kwa kuwa mimi siyo mfuatiliaji wa movie za kibongo pamoja na hao wanaojiita wachekeshaji hata sikuwahi kumfuatilia zaidi ya kupishana naye kwenye kumbi za starehe.
Lakini hivi karibuni nimeona clip moja akimponda Eric Omondi mchekeshaji wa Kenya kwamba hana jipya na kudai Watanzania ni wajinga kumshabikia!
Binafsi mimi siyo na sikuwahi kuwa mshabiki wa Eric Omondi zaidi tu huwa namsikia kwa watu walionizunguka wakisimulia habari zake.
Kauli ya kudai kwamba Watanzania ni Wajinga kwa kumshabikia Eric Omondi ilinishtua kidogo nikalazimika Kumtafuta Eric Omondi kwenye Youtube na Huyu kijana wetu Steve Nyerere.
Ukweli ni kwamba nilichokiona ni sawa na Mbingu na Ardhi, yaani Steve akiwekwa jukwaa moja na Eric hamfikii hata kwa theluthi.
Huyu Mkenya yuko vizuri kwa utafiti na uchekashaji wake unaeliamisha na pia lugha inambeba kiasi kwamba anaweza kwenda hata nje ya nchi kushindana na magwiji wa Comedy kama alivyotoka huyu kijana wa Africa Kusini anayeitwa Noah Trevor.
Ukiangalia vichekesho vya huyu kijana wetu aliyedai Watanzania ni wajinga, anachofanya yeye ni mipasho na si vichekesho kama anavyodai lakini kingine ni lugha ya kiingereza inampiga chenga kwa sababu ya kukimbia shule kwa kutaka umaarufu.
Wasichokijua wasanii wengi hapa nchini hususan comedian ni kwamba ili kujenga soko kimataifa lugha ya kiingereza ni muhimu kwani ndiyo lugha pekee itakayokuwezesha kufika mbali.
Kilichombeba Steve ni Magazeti ya Udaku na yeye kuvimba kichwa na kusahau kwamba elimu ni muhimu kwa fani anayotaka kuifanya. Lakini hajachelewa anaweza kujiunga pale British Council ili kujifunza kiingereza na mbinu mbalimbali za kuzungumza kwenye hadhira.
Hebu tuwaone hawa watu watatu yaani Eric Omondi, Steve Nyerere na huyu Noah Trevor ili muone tofauti ilipo.....
Ha ha haaHv huyo wa pembeni yake hilo shati kubwa kama turubai asee
if u planning to go picnic u can borrow his shirt and make it as a tent [emoji23]Ha ha haa
Hajawahi...na hata hizi za ndani audience yake ni bongo movie wenzieMkuu samahani sana mi ukiacha zile stand up comedy za ze comedy kipindi bado wapo EATV sijawahi angalia video clip za stand up comedy zozote za bongo.
Naomba nikuulize kitu Huyo Steav nyerere amewahi kualikwa Kenya ? Au nchi yeyote ukanda wa Afrika mashariki
Ni muda mrefu nimekuwa nikimsikia akijinasibu kama mchekeshaji maarufu hapa nchini, na kwa kuwa mimi siyo mfuatiliaji wa movie za kibongo pamoja na hao wanaojiita wachekeshaji hata sikuwahi kumfuatilia zaidi ya kupishana naye kwenye kumbi za starehe.
Lakini hivi karibuni nimeona clip moja akimponda Eric Omondi mchekeshaji wa Kenya kwamba hana jipya na kudai Watanzania ni wajinga kumshabikia!
Binafsi mimi siyo na sikuwahi kuwa mshabiki wa Eric Omondi zaidi tu huwa namsikia kwa watu walionizunguka wakisimulia habari zake.
Kauli ya kudai kwamba Watanzania ni Wajinga kwa kumshabikia Eric Omondi ilinishtua kidogo nikalazimika Kumtafuta Eric Omondi kwenye Youtube na Huyu kijana wetu Steve Nyerere.
Ukweli ni kwamba nilichokiona ni sawa na Mbingu na Ardhi, yaani Steve akiwekwa jukwaa moja na Eric hamfikii hata kwa theluthi.
Huyu Mkenya yuko vizuri kwa utafiti na uchekashaji wake unaeliamisha na pia lugha inambeba kiasi kwamba anaweza kwenda hata nje ya nchi kushindana na magwiji wa Comedy kama alivyotoka huyu kijana wa Africa Kusini anayeitwa Noah Trevor.
Ukiangalia vichekesho vya huyu kijana wetu aliyedai Watanzania ni wajinga, anachofanya yeye ni mipasho na si vichekesho kama anavyodai lakini kingine ni lugha ya kiingereza inampiga chenga kwa sababu ya kukimbia shule kwa kutaka umaarufu.
Wasichokijua wasanii wengi hapa nchini hususan comedian ni kwamba ili kujenga soko kimataifa lugha ya kiingereza ni muhimu kwani ndiyo lugha pekee itakayokuwezesha kufika mbali.
Kilichombeba Steve ni Magazeti ya Udaku na yeye kuvimba kichwa na kusahau kwamba elimu ni muhimu kwa fani anayotaka kuifanya. Lakini hajachelewa anaweza kujiunga pale British Council ili kujifunza kiingereza na mbinu mbalimbali za kuzungumza kwenye hadhira.
Hebu tuwaone hawa watu watatu yaani Eric Omondi, Steve Nyerere na huyu Noah Trevor ili muone tofauti ilipo.....
Hata kumuigiza Mwl JKN hajui bhana! Huwa nashangaa huyu jamaa kupewa sifa kwamba ana kipaji cha kumuigiza Mwalimu. Labda kama watu wanavyosema kwamba alikuwa na shughuli nyingine ndani ya sanaa lakini kuigiza NOOO!Nikiangalia Steve nyerere kipaji chake anavyomuigiza Mwalim Julias Kambarage Nyerere ni wazi kwamba ana kipaji cha kipekee. Erick omondi alivyomuigiza rais Magufuli amejitahidi lakini hakumpatia sana.
Marehemu Kanumba na Rey walitambua kipaji cha Steve Nyerere wakaamua kutuletea kipaji hiki ndani ya bongomuvi.
Aongeze juhudi na ubunifu zaidi katika kazi zake atafika mbali.
Kabisa! Trevor Noah ni Messi wa comedy hafai kulinganishwa na wachezaji wa mchangani akina steve nyerere pia hata eric omondi.Muombe radhi trevor Noah mleta mada
Erik Omondi na Trevor noah wanachekesha watu. Huyo mwengine anacheka mwenyewe tu[/QUOTE]
Hiyo kitu haitakiwi kwenye comedy, ni wrong delivery method!
mi ht kupoteza muda sitaki kumtazama Huyo steveNilipomuona anajisifu nikadhani nimepitwa na mengi, kuja kumuona kwenye Youtube nilichoka kwa kweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]if u planning to go picnic u can borrow his shirt and make it as a tent [emoji23]
Ikibaki na chupi kama mbili anashonaHahaa unaweza ukashonesha gauni kama tatu hivi na chenchi ikabakia.
Hii post nimeiona kabla sijafungua huu uzi nilishamjua mhusika wa shati,nimefungua kumbe ndiye kweli.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Alikula rambi rambi za kanumbaHuyo Steve nilipoona yuko karibu na lemutuz nikajua tu maisha yake naye ni ya udananda
![]()