Huyu Tajiri huko CCM ana nafasi gani?

Wasanii walioko dodoma wana cheo gani ccm? CCM kila anayetaka maslahi anajipeleka peleka tu. Ndivyo siasa za Afrika zilivyo naona hii imefika hadi US. We huoni baada ya uchaguzi kila tajiri wa US anajipendekeza kwa Trump. Mark Zuckerberg alikuwa anamkandia Trump hadharani now kapiga U-turn.
 
CCM ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu.kila mwenye akili Timamu na anayejitambua ni mwanachama wa CCM na anaiunga mkono CCM. Ni CCM ndio imefanya kazi kubwa ya kiuwekezaji wa miundombinu ambapo sasa unaweza ukawa unashiriki mkutano Mkuu wa CCM Dodoma saa nane mchana na saa kumi jioni siku hiyohiyo ukawa umefika uwanja wa Benjamini mkapa ukiangalia mechi ya Yanga au Simba leo huku ukibubujikwa na machozi
 
Hawa wanajipachika kwenye Chama Ili waibe Vizuri..Huwa wanakwepa Kodi saaana hawa,,mfano Ni Manji ,,alijipachika kwenye Chama Ili aendelee kunyonya Nchi Yetu.Tuwakatae Matajiri wajanja wajanja.wapo Hapo kimaslai tuu
 
Ukiongolea gsm.unaongelea kikwete
Huyu na msomali heris said wanapambana wapate ubunge mwaka huu.

Msomali anatafutiwa jimbo dodoma
Garib.dar hsa kigambon

,Hawa.ndiowanapenda mbowe ashinde uenyekiti wakae naye wampe mkwanja wanapogombea wasipate upinzani
 
Truth and Reconciliation Commission (TRC), halisi ilikuwa South Africa sio hii ya bi-tozo.

Usilaumu wachezaji, lalamikia kanuni za mchezo.

Kanuni za mchezo zikibadilika, na wachezaji wanabadili tabia pia.

Uwezi kulaumu watu kutumia fursa zilizopo mbele yao.

Hii ni CCM ya wafanyabiashara, ile ya kujitegemea hatuko tayari nayo (tumeona inafananaje).

Unataka bandari iwe na faida ya trillion moja kwa mwaka utukanwe, au itengeneze billion 200 kwa mwaka upendwe.

Hiyo ni sehemu moja tu.

Kazi ya kujenga nchi si rahisi R.I.P; JPM.

Ishi na maamuzi yako ya maisha, hata kama ni ya kuamini ujinga uliolishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…