Huyu tajiri wa mabasi ya Jonhavia investment ni nani hapo Musoma?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Siku za hivi karibuni hii kampuni ya Jonhavia investment yenye makao makuu yake Musoma mkoani mara imekua ikitoa ushindani kwa wakongwe wa kanda ya ziwa,jamaa nadhani kila mwezi anaingiza vyuma vipya barabarani.
Ningependa kumjua huyu mmiliki ni nani hapo Musoma?
 
Tafuta oesa kwa nguvu zoote....achana unafiki na majungu ukishamjua ....then what ...
 
Ni mimi kiongozi huo utajiri wangu hauna makandokando maana nilianza kwa kuuza mayai mjini kati.
 
Pesa ya Tanzania haitafutwi!ukiitafuta utaishia kupata ya kula na kuvaa tu!

Pesa ya Tanzania inaibwa,piga deal,na n.k kama sio mwizi na mpiga deal huwezi kua tajiri Tanzania!!
Tafuta oesa kwa nguvu zoote....achana unafiki na majungu ukishamjua ....then what ...
 
Ni fedha za deni la taifa. Unafikri deni linachupa hivi hivi tu? Mtafute hapo Musoma mtu anaitwa Mathayo umwulize vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…