Mcqueenen
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,843
- 11,702
Mpaka leo nikikutana Na bakhresa sokoni tutapishana sitamjua...labda yeye ndo anijue mimiBakhressa sijawahi kumsikia akiongea kwenye vyombo vya habari na ana TV zake akiamua awe ana tangazo lake anaweza. Hutamuona akiongea. Huyu jamaa mshamba sana aisee.