Amenipigia jana nikamwambia nipigie kwa namba 100 akasema kuna tatizo la kimtandao ndiyo maana anatumia private number!! Anasema kuna mteja amekosea namba amenitumia milioni moja na laki sita kwahiyo ametuma malalamiko vodacom nimrudishie pesa zake!!!! Nimemuambia magereza inamhusu maana nilidhani jana alinielewa lakini leo amenipigia tena.